Simple F
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 1,282
- 1,725
Aisee kidogo niwemo kwenye safari hiyo ghafla usiku nikahairisha safari kwenda Songea baada ya ajali walinipigia watu wa karibu walihisi nimesafiri pole sana mwamba16/09/2016 tukiwa miongoni mwa abiria Mimi na mchumba wangu kwny basi la newforce kutoka DSM kuelekea songea,majira ya saa mbili usiku maeneo ya kifanya njombe basi lilipinduka na kutamatisha maisha ya mchumba wangu, sitakuja kusahau maneno ya mwisho mchumba wangu aliyonitamkia muda mfupi kabla hajakata roho,inauma sana