Umewahi kukumbwa na mikasa yoyote ndani ya mahusiano...

halafu unaweza kuona baadhi ya wanaume walivyo wa ajabu, kackia nimepowa, akaanza usumbufu wa calls na kila namna tuweze kuonana, nilikuwa nampa wazi kwamba mie ni mchumba wa mtu na bado cku chache niitwe mrs, ananiambia eti mie ndio nilikuwa chaguo lake, alikuwa ananifanyia vituko kwenye fone mpaka ikabidi nimwambie mr ukweli akaniambia wala ucjali tupo pa1.....tulikutana nipo na mimba ya miezi kadhaa anadani yaani ulivyopendeza mie ndio nilistahili kukupendezesha, nilimkata jicho baya walaah hakuamini.

Hii inatokea pindi alicho kuwa anakitafuta amakipata au amekikosa na kama amekipata amekitumia sasa anaona hakifai anacho fanya nikurudi kule aliko toka au anakumbuka ladha ya zamani ndo anakutafuta Nyamayao kwa gharama yoyote ile imradi alejeshe penzi akisha kutumia na wewe kikapatikana kigeni anakukimbia tena aidha sasa atarudi kwa kile alicho kipata wkt ule. Ndo maisha ya wanaume yalivyo human being is contradictory being.
 
kwenye MAPENZI YA KWELI hamna kuchokana!

Human being is contradictory being kila n'tu ana uzaifu wake pindi anapo kuja kukumbana na dharuba ya udhaifu wake unakuta amedondokea pua kama si kuteleza.
 
wapenzi wanaweza kuzoeana sana,at the end wakawa kama marafiki!lakini kuchokana is something else!adhawaisi watu wasingedumu miaka 30 kwenye ndoa.

naomba nipingane na kauli yako mkuu jadi-kihwele,KWENYE MAPENZI YA KWELI HAMNA KUCHOKANA
 
Nyamayao umesahau kuna kitu kinaitwa kuchokana

niligundua hilo Fidel ndio mana na mie nakajua hapa ni kusonga mbele tu, sasa kama ndo hivyo kwanini mpaka wa leo ndio mtu anaenisumbua japo anajua tayari ni mama fulani?....
 
Kwa hiyo na huyo aliyekuzalisha itafikia muda atakuchoka????
na utasonga mbele?
 
hahahaha!hamnaga adhabu nzito kwangu kama kukatwa jicho,unaopandishwa,unashushwa kama mara kadhaa halafu unafyonywa!lol.

ndo maana wewe ni mtu wa hasira sana!hasa kwenye posti zako za mahusiano

hapana kabisa G, cnaga hacra kabisa sema nakuwa mkali mana nilitoka huko na upuuzi kwasasa ctaki tena.
 
Hii inatokea pindi alicho kuwa anakitafuta amakipata au amekikosa na kama amekipata amekitumia sasa anaona hakifai anacho fanya nikurudi kule aliko toka au anakumbuka ladha ya zamani ndo anakutafuta Nyamayao kwa gharama yoyote ile imradi alejeshe penzi akisha kutumia na wewe kikapatikana kigeni anakukimbia tena aidha sasa atarudi kwa kile alicho kipata wkt ule. Ndo maisha ya wanaume yalivyo human being is contradictory being.

hilo game kwangu halina nafac kabisa.......
 
Kwa hiyo na huyo aliyekuzalisha itafikia muda atakuchoka????
na utasonga mbele?

wewe nawe...alienizalisha ni mume wangu tofauti kabisa na mtu anaeitwa bfrnd, upo hapo! huyu nina mamlaka nae huyo bfrnd nitoe wapi mamlaka nae wakati yeye ni kujiamulia tu...umeongea point ulvyosema alikuwa hana mapenzi ya kweli...sawa kabisa.
 
hapo tuko pamoja!naomba ukubaliane na mimi kwamba MAPENZI YA KWELI HAYANA KUCHOKANA!

naomba pia upingane na kauli ya mpwa kwamba KWENYE MAHUSIANO KUNA KITU KUCHOKANA!wanaochokana mara nyingi nia yao huwa ni sex tu,upo?
 
nimekuelewa baby....
 
nitaweza wapi mimi mpwa?!hahahahah!
mziki mnene huo.
BONGO-RECORDS hiyo.mimi nakomaa na nyumba kubwa bwana

all the best geoff ...mie nakaribia kukata kona weekend hii nitafute pa kusuuza huu mtima wange
 
Back
Top Bottom