Umewahi kujutia kwanini umeoa au kuolewa?

Tempted several times in our entire life of over 10 yrs and came out a winner. But this year (2011) nafanya kweli!

Babu DC 1947!

Hahahahahahahah,

Mjukuu Maty usiwe na shaka na babu..hii 2011 ni kali sana. Hivi wewe ni malaika? Kama siyo basi karibu tuishi kama wengine. Ndilo babu anataka kufanya kabla ya Dec 31! Au unataka kusemaje?

babu hapo mi cjaelewa vizuri unatarajia fanya kweli ipi babu yangu?[/QUOTE]
 
Kwa hiyo majuto ni kwa kila mtu duniani?

avatar9567_1.gif
Nimependa AVATAR yako!! Huyu DOGGO anachungulia nini humo??!!
 
Niliwahi kujuta sanaa baada ya kugundua husband wangu amewatafuna wadogo zangu wawili nikiwa masoni,oooh sitaki kukumbuka:redfaces::redfaces::redfaces::redfaces::redfaces::redfaces:
 
Hivi kuna siku umewahi ku-regret kwanini umeoa ,umeolewa au umeingia kwenye mahusiano ambayao unadhani mtu uliyenae si sahihi kwako ?kama tujuavyo maisha yana ups and down kibao
- DO you think you made a mistake choosing your partner?
- How often you're tempted to be unfaithful and how often you fall
grin.gif
.
- How long you think the marriage/relationship will last.? forever or:A S-rose::love::A S-heart-2:

Imenitokea mara nyingi sana mpaka nikajihisi nina matatizo lakini hiyo inatokea especially kama una standards na hupendi upuuzi ambao kila mtu atakushauri uvumilie. Yes i have made lots of mistakes choosing the partners i had in relationships, i have never bn unfaithful to my partner coz it will not solve the problem,i simply quitt the relationship and life goes on.I think my marriage will last forever because i will marry a person who has a lot to offer even when we are not in good terms,not in terms of money but lots of other factors.
 
POLE SANA LISA... USHAWAHI KUJIULIZA U-MECHANGIA KWA KIASI GANI KATIKA MATATIZO YAKO YA NDOA? NA KUWA WA KWANZA KUMWOMBA MWENZIWAKO "SAMAHANI" NA MUSAHAU YANAYOWASUMBUA ILI MUENDELEE NA YA-JAYO?.... IT BEGINS WITH YOU AND YOU ARE THE ONLY COZ N REASON FOR YOU ALL LIFE PROBLEMS...
ni maoni tuuu dadangu
Sijaolewa!m jus in a relationship..a vry bad one..najuta inshort!kuwithdraw nako kugumu basi shida tu
 
Stick with it if it can be solved.... (unless its impossible), there are things are worth to fight for.....

"If we all threw our problems in a pile for everyone to choose after seeing everyone else's, we'd grab ours back and depart"

M jus in a rltnp nt ndoa..najuuuta ila namshukuru Mungu its jus a rltnshp so kuwithdraw ni easy atleast..
 
Nimeingia kwenye uhusiano ila najaribu kujitoa sijui ntaweza mhh:redfaces::redfaces::redfaces::redfaces:
 
Hivi kuna siku umewahi ku-regret kwanini umeoa ,umeolewa au umeingia kwenye mahusiano ambayao unadhani mtu uliyenae si sahihi kwako ?kama tujuavyo maisha yana ups and down kibao
- DO you think you made a mistake choosing your partner?
- How often you're tempted to be unfaithful and how often you fall
grin.gif
.
- How long you think the marriage/relationship will last.? forever or:A S-rose::love::A S-heart-2:

Dah!!!!!!!
 
we ndo km mie..yanantokea puani..kuwithdraw nako kugumu basi shida tu

kuna vitu viwili ku-withdraw from marriage or relationship kama ni relationship it all depends you have been in that relationship for how long kama una strong reasons za ku-withdraw you better do that other than kukaa unajiumiza for the sake ya kufurahisha watu wakati wewe unaumia
 
Mkuu thanx for your thread,ninaamini kuna utafiti unaufanya hasa kwa kuangalia ulivyotengeza maswali yako!! Lakini kabla sijaweka uzoefu wangu ningependa kujua machache kutoka kwako.

  1. umeolewa/umeoa,uko kwenye mahusiano kwa muda gani?

    nimeolewa niko kwenye mahusiano ya ndoa 10 years now
  2. Kati ya hayo unayotaka wanajamii wakujuze unaweza kuweka uzoefu wako kwanza tukajua kuwa unacholenga nini?
    sijawahi kuregret na sijui kama nitakuja kuregret mungu anisaidie
  3. Una umri gani wa kuzaliwa?
    nina miaka kadhaa bana hapa ni confidentil

Asante nikishajua hayo nitashirikiana na wewe katika kukamilisha utafiti wako na hatimaye ugraduate hicho unachokisomea ustawi wa jamii!!

Akili Unazo!

napenda tu kujua haya kama vile ujuavyo mahusiano yana mambo mengi
 
kuna vitu viwili ku-withdraw from marriage or relationship kama ni relationship it all depends you have been in that relationship for how long kama una strong reasons za ku-withdraw you better do that other than kukaa unajiumiza for the sake ya kufurahisha watu wakati wewe unaumia

Niko kwnye rltnshp yani najaribu kuwithdraw thn nakua nammiss tena basi tabu kwelikweli namuomba Mungu tu cz I knw am in a wrong rtlshp yani kabisa!
 
FL asante kwa hii topic imeshawahi kunitokea ni baada ya matatizo mengi na kuangalia vitu in anegative way lakini baada ya muda fulani nilijifunza kutanzama mambo in a positive way na sio kulaumu tu hapo ndo nilipojifunza kila jambo linalotokea kwenye maisha ya mwanadamu lina maana na ndilo linalomjenga hatuna budi kuappreciate yale tuliyonayo na kuyatunza kwa nguvu zetu zote maana kile ambacho hujakipata si chako.na hakiwezi kuja kuwa cha thamani kwako

Back
Top Bottom