Umewahi kuisikia DVD YA HOTUBA ZA DR.W.SLAA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umewahi kuisikia DVD YA HOTUBA ZA DR.W.SLAA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mzee Wa Rubisi, Jun 25, 2011.

 1. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #1
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Ndugu umepata kuisikiliza DVD hii ya hotuba za Dr w. Slaa.Ndg kama bado itafute upate ujumbe kupitia hotuba za Dr.Anaeleza juu ya mtanzania,haki za mtanzania,na nini serikali inatakiwa kufanya.
   
 2. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #2
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Je maneno aliyoyasema Dr, wakati wa kampeni umedhihilika sasa kwa serikali hii,umeliona hilo.?
  Watawala wanatetea kujilimbikizia mali wakati watanzania tunataabika,
  Maisha magumu,
  Shule za kata, aliziita mashimo ya choo matokeo yake.
   
 3. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #3
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Moja ya hotuba ya DR Slaa,Je wajuu wasababu za Taifa la MAREKANI kuwagawiya watanzania CHANDARUA BURE.?
  Je ulize sasa viongozi wa juu wa Serikali wanakuja nchi malakwamala kuna nini.?
  Je Bi Clinton alikuja kweli kutembelea kituo cha afya Buguruni,?
  Je wajua marekani hinanufaika na nini kutoka kwake.?
  Sikiliza hotuba hizo upate ukweli nini marekani hinanufaika na Tanzania.?
   
 4. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #4
  Jun 25, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Je serikali himetimiza wajibu wake tangu hichukue madaraka kwa awamu hii ya pili ya Mh JK.?
   
 5. b

  bob nasta Member

  #5
  Jun 25, 2011
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 25
  Inapatikana wapi?
   
Loading...