Umewahi kufikiri kuhusu usalama wa watoto wako kijinsia?

snowhite

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
17,687
23,568
Tafiti na shuhuda nyingi zinathibitisha usalama finyu wa kijinsia unaowakabili watoto.

Leo tutizame maeneo HATARI ZAIDI KWA WATOTO
Haya ni MAENEO YANAYOFIKIRIWA KUWA NI SALAMA KABISA!
-MAJUMBANI.
Watoto huharibiwa zaidi na ndugu, kaka zao, dada zao, mabinamu, babu, baba, mama, wajomba, baba wadogo, mama wadogo jamaa marafiki wazazi, majirani, watoa huduma kama nannies.

(TUKIPITISHA KURA HAPA WENGI WETU BIKRA ZA KIUME NA KIKE ZIMETOKA CHINI YA PAA LA NYUMBA YA BABA ZETU, wanaume ni mashahidi zaidi wa hili, namna walivyojifunzia ngono mapajani mwa dada zao waliokuwa wanawalea, UNAFKR MWANAO HALIWEZI KUMKUTA?UMEWAHI KUFIKIRI NAMNA YA KUMLINDA , AU NAMNA YA KUMSAIDIA AKIPATA THE SAME SAGA ULILIPATA? ANAWEZA KUKWAMBIA?)

-MASHULENI
Walimu, wanafunzi wenzao, wahudumu wa shule kama madereva wa magari, matrons/patrons, viongozi wa madarasa,viongozi wa mabweni. Watoto huamini walimu wao sana, watoto huamini wezao sana, watoto hutumia muda mwingi shuleni kuliko nyumbani! Kile mzazi atasema ,ili kiwe na mashiko ni lazima mwalimu au anko wa shule akisisitize! UMEWAHI KUFIKIRI KUHUSU HATARI YA MWALIMU NA ANKO WA SHULE ANAMWAMBIA NINI MWANAO? UMEWAHI KUWAZA IWAPO HABARI UNAZOSIKIA ZINATOKEA KWA WENGINE PENGINE NA MTOTO WAKO ANAAMBIWA MANENO YALE YALE? UNAJUA NAONGEA NINI NA WENZIE? ANA TAARIFA KINZANI YENYE UKWELI KUHUSU LOLOTE ANALOAMBIWA KIASI LISISHIKE AKILI YAKE?

-NYUMBA ZA IBADA
Walimu wa dini, makasisi, mashekhe, wahudumu wa kanisa na misikiti. Elimu duni pembeni hii ni elimu ya kiroho! Kama vile umwaminivyo kiongozi wako wa kiroho , ndivyo na yeye mwanao anavyomztizama pengine kama mungu(kulingana na anachoelewa kuhusu mungu)USIWAZE POPOTE KUWA KUNA KITU ATAAMBIWA NA KIONGOZI WA KIROHO AKATAE! kwanza kwa imani pili kwa vitisho! Tena akipitia mistari na nukuu zile zile.
-MTAANI
Vyombo vya usafiri, mitandao ya kijamii, vichochoro vya njia, makondakta , madereva, bodaboda, bajaji, wauza maduka, wauza vitu vya kula kama chipsi, lambalamba, ubuyu, kashata , ice cream, chama.

HAYA NI MAENEO TU.
Kuna IMANI ZA KISHIRIKINA , kuna MIHEMKO YA UMRI, kuna ELIMU RIKA POTOFU, kuna MIKUMBO NA KUIGA.

KWA KIFUPI HAWAPO SALAMA!
HAWAPO SALAMA!
HAWAPO SALAMA!
Weka nukta, puuza, ona ni ya kupita , ona halikuhusu LAKINI MY DEAR WATOTO WETU HAWAPO SALAMA!

TUFANYE NINI?
TUPEANE MAWAZO!
 
Topic muhmu sana. Umefikiri jambo la heri.
1. Nyumbani, fukuza takataka zote mbaki na familia tu, core family.
2. Kanisani achana na kwaya. au acha upuuzi wa dini kabisa!
Kwingine ngoja wengine waje huko ni kugumu to make any control! labda semina nyumbani za kila leo unapokuwa nao.
 
Ni hatari sana, popote walipo hawapo salama....!!

Ukifuatilia interviews kadhaa zilizofanywa kwa hawa mashoga, utakunaliana kabisa kuwa baba mdogo, baba mkubwa, anko au ndugu yeyote uliyemuamini ndio waharibifu wa watoto wetu,wawe wa kike au wa kiume.
Nimetoa mfano wa mashoga kwa vile hakuna kitu inauma ukisikia mwanao wa kiume ni shoga....!!!! Sija ignore jinsia ya ke.

Baada ya tafakari ya kutosha na mke wangu,pamoja na mambo mengine,tuliamua kuhama mjini na kurudi kijijini moja wapo ya sababu ni kwamba kijijini watakuwa salama zaidi na watasoma,maana hata mama atakuwa na utulivu zaidi na maendeleo yao yapo vizuri.

Lakini pia nakuwa makini sana na wageni wa kiume wanaokuja kwangu,kama ni mwanaume huwa nawapa vyumba vya nje,hy haijalishi na huwa nawaambia kuwa huku mtakuwa huru zaidi. Na mtoto huwa ni marufuku kuingia chumba hicho cha mgeni,na nashukuru mama huwa ni mkali sana kwa hilo.

Lakini pia baada ya siku mbili au tatu mgeni huyo huwa mama au mimi tunamuomba kikao, aseme shida yake ili atekelezewe mapema arudi kwao akajenge familia yake na taifa kwa ujumla, hakuna kumaliza mwezi hapa kwangu.

Shuleni kwa upande wa vijijini kuna angalau nafuu tofauti na mjini,maana wanaondoka kwa makundi wanapitiana na sio mbali,walimu hawana shida sana na kwa vile ni mji mdogo,lolote mwalimu akifanya lianjulikana mapema sana. Tatizo huku ni mboko tu....wanachapa sana na mie watoto wakija kushitaki nauliza ulifanya nini ndio akuchapa? Akinijibu namwambia usifanye tena ilo kosa.

Anyway,nimeleta ka story haka angalau huenda kunajambo la kujifunza unaweza pata. Mie mjini niliona kabisa siwezi kuwalea maana sio siri mjini hakuna mda hata kidogo wa kusema mtoto atakuwa salama,mazingiza yoyote pale kwake ni hatari tupu...!!!

Samahani kwa kueleza ujinga wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NINA SHUHUDA ZA BABA NA MAMA KAMA POINT NUMBER 1 YA KUBAKA, KULAWITI NA KUUZA WATOTO.
nyingi aiseee, nyingi mnoooo! nyingi mnooo!
NA mbaya zaidi ,pale ambapo motto ndiye siye CORE FAMILY! (yatima wanalelewa kwenye nyumba za wajomba, baba wadogo, mashangazi , na kdahalika)

Sentensi yako ya mwisho ndiyo ENEO PEKEE TULILOBAKI NALO!
AWARENESS!
mtoto KUFAHAMU UNYANYASAJI WA KIJINSIA NI NINI, UNAFANYWA NA NANI, UNFWANYA VIPI, AJILINDE VIPI, AMWAMBIE NANI, ANALINDWA VIPI!
hapo tu!
ILA CHANGAMOTO INAKUJA!

tunazungumza nao?
 
Ni hatari sana, popote walipo hawapo salama....!!

Ukifuatilia interviews kadhaa zilizofanywa kwa hawa mashoga, utakunaliana kabisa kuwa baba mdogo, baba mkubwa, anko au ndugu yeyote uliyemuamini ndio waharibifu wa watoto wetu,wawe wa kike au wa kiume.
Nimetoa mfano wa mashoga kwa vile hakuna kitu inauma ukisikia mwanao wa kiume ni shoga....!!!! Sija ignore jinsia ya ke.

Baada ya tafakari ya kutosha na mke wangu,pamoja na mambo mengine,tuliamua kuhama mjini na kurudi kijijini moja wapo ya sababu ni kwamba kijijini watakuwa salama zaidi na watasoma,maana hata mama atakuwa na utulivu zaidi na maendeleo yao yapo vizuri.

Lakini pia nakuwa makini sana na wageni wa kiume wanaokuja kwangu,kama ni mwanaume huwa nawapa vyumba vya nje,hy haijalishi na huwa nawaambia kuwa huku mtakuwa huru zaidi. Na mtoto huwa ni marufuku kuingia chumba hicho cha mgeni,na nashukuru mama huwa ni mkali sana kwa hilo.

Lakini pia baada ya siku mbili au tatu mgeni huyo huwa mama au mimi tunamuomba kikao, aseme shida yake ili atekelezewe mapema arudi kwao akajenge familia yake na taifa kwa ujumla, hakuna kumaliza mwezi hapa kwangu.

Shuleni kwa upande wa vijijini kuna angalau nafuu tofauti na mjini,maana wanaondoka kwa makundi wanapitiana na sio mbali,walimu hawana shida sana na kwa vile ni mji mdogo,lolote mwalimu akifanya lianjulikana mapema sana. Tatizo huku ni mboko tu....wanachapa sana na mie watoto wakija kushitaki nauliza ulifanya nini ndio akuchapa? Akinijibu namwambia usifanye tena ilo kosa.

Anyway,nimeleta ka story haka angalau huenda kunajambo la kujifunza unaweza pata. Mie mjini niliona kabisa siwezi kuwalea maana sio siri mjini hakuna mda hata kidogo wa kusema mtoto atakuwa salama,mazingiza yoyote pale kwake ni hatari tupu...!!!

Samahani kwa kueleza ujinga wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaeleza ujinga Mkuu!
Umetupa suluhisho mojawapo kati ya mengi tunayoweza kufanya!
LAKINI PIA .
ongea nao!
wajue kabisa! KIPI NI KIPI NA KIPI SIO KIPI KIASI WAWEZE KUWA ALERTED!
 
Hata bila kutoa wazungu nayo inahesabika ni mara ya kwanza ?
NDIO!
Kile kitendo cha kwanza ulichofanya/ ulichofanyiwa kwenye viungo vyako vya uzazi zaidi ya kutoa haja.
Hicho ndicho KUTOLEWA BIKRA.
 
31 Reactions
Reply
Back
Top Bottom