Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,474
- 39,987
Kama jibu ndio kwanini ulilazimika kuwachapa badala ya kuwa adhabu mbadala na kama huwachapi unawapatia nidhamu vipi?
Kama jibu ndio kwanini ulilazimika kuwachapa badala ya kuwa adhabu mbadala na kama huwachapi unawapatia nidhamu vipi?
USIULAZIMISHE MWILI UAMBUKIZE SIKIO.
Kumchapa mtoto ni shambulio la kudhuru mwili na pengine asibadilike badala yake awe sugu,
hivyo kwa mimi huwa namuonya tu au namgombeza kwa kumwambia maneno makali yenye kumchoma mpaka anatamani ningemchapa tu shaishe kuliko kuendelea kuyasikia maneno yangu.
wewe usitake kutuletea sheria zako za ulaya hapa hatuziwezi,kuchapa mtoto anapokosea ni rukhsa hata shuleni tulikuwa tunachapwa na tulikuwa tunakoma haturudii makosa sasa wewe unasema ni shambulio shambulio gani hilo??
Mi naupinga sana huu ulimbukeni wetu sisi waafrika kuiga iga kitu bila kuchunguza na kuacha mila zetu,huko laya kumchapa mtoto ni kosa kisheria na wao tangu ujima walikuwa hawachapi watoto,lakini wa2 wote waliobakia huwachapa watoto wao kama njia ya kuwafundisha,si watoto wote huwa wanaonyeka kwa mdomo wengi wao hata hueme vipi anarudia ksa lile lile,sasa kwa nini usimchape,mi mwenyewe nilichapwa wakati nasoma madrassa na kama nisingechapwa nisingeiweza jinsi ilivyokuwa ngumu.shule nilichapwa pia mana nilikuwa mtundu sana na kupenda kucheza mno kuliko kitu kingine vichapo viliniweka sawa.
Mimi muumini wa viboko!!!
Maneno yana mahala pake na aina yake ya makosa, viboko navyo vinahusika sana katika kuleta adabu na mwelekeo
Viboko si kila wakati, na kuna kosa hata mtoto mwenyewe anajua hili adhabu yake viboko.
Unampatia vya kumtosha
kila mtu hapa ana story jisnsi viboko vilivyomuokoa.
Push ups2. Na hizo adhabu mbali ya kupigwa bakora, nyengine ni adhabu gani?
ndio zile ulizotuadhibu nazo pale uwanja wa Taifa baada ya kuvua viatu uwanja mzima ukawa haukaliki kwa uvundo!!! kweli watoto wako watanyooka kwa style ya adhabu hiiMimi adhabu ninayo wapa ni kunifulia Soksi zangu.
Kama jibu ndio kwanini ulilazimika kuwachapa badala ya kuwa adhabu mbadala na kama huwachapi unawapatia nidhamu vipi?