Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,864
- 155,821
Utaumbuka, benki nyingi hazina vyoo vya wateja

Kwani wao wanajisaidia wapi? Kwenye rambo?
Mpwa tukutane JJ siku ya Ijumaa baada ya Swala ...nasikia Mnyama amekuwa adimu.
kama ghafla
Benki ni nadhifu sana na wafanyakazi wake daima ni watanashati, kwanini hawataki kutuwekea vyoo sisi wateja wao tunaowapelekea fedha?
Benki siyo sehemu ya kwenda kunya ni sehemu ya kuhifadhi pesa. Wakiweka vyoo itakuwa kama baa, mtu anajifanya kama mteja kumbe anataka akanye mimavi yake. Hakuna kuweka vyoo benki. Period!

Mbona ifata bank kuna choo au kwa kua ni bank ya walokole?
astaghfirullahInshallah mpwa lakini tutaenda chimbo moja pale Tip Top Mnyama anamixiwa na mchicha hiyo noma