Umewahi develop software ama kufanya chochote na window subsystem linux/WSL kama mbadala wa VM na dual boot?

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,986
2,000
Huwa siwezi kutumia linux completely kwenye mashine yangu haiwezekani, hivyo huwa nafanya dual boot Kwa Linux na window 10, baada ya kuona mapungufu kadhaa ya VM, ila kuna kipindi Microsoft walitoa WSL ambayo ina version kadhaa nadhani zimefika mbili mpaka sasa.

Hii inasifika kwa kuwa na uwezo wa kuruhusu linux kuacceaa mafile direct kutoka kwenye window ukilinganisha na VM pia ina speed sana kulingana na maelezo ya wadau.

Sasa naomba kujua je ni nani anatumia au alishawahi kutumia WSL hapa JF either kudevelop software au matumizi mengi atoe feedback.

Mhariri Naomba badili kwenye title ongeza neno for kabla ya linux
 

Gobole

JF-Expert Member
Dec 29, 2013
1,092
2,000
Mi natumia WSL 2 na VCS ila sio kwa development kwa mambo mengineyo...habari njema unaweza intergrate WSL na Visual code studio ukawa una edit application files zako in real time.

So far it has been so fun...nlitaka kupiga chini windows ni install Ubuntu nikabadili nia baada ya kuanza kutumia WSL.
 

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
5,866
2,000
Nilitumia wakati inatoka spidi ilikuwa ya konokono nikapiga chini nikaweka Manjaro linux na vm ya windows na sijawahi kurudi nyuma😁...labda siku hizi wamefanya improvement
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom