Umevua mwenyewe nguo, Yanini kujifunika uso kwa viganja tena?

Bora hiyo mara mia, mia nilijua story yako itaishia kwenye majanga ambayo mara nyingi yemenikuta, kila kitu inekwenda sawa, umeshaingia gharama, ukiusasambua mzigo ukifika kwenye kufuli unatia mkono unakutana na ji pad la always limetunaaa kaa kigodoro!!!

nilipata kuhadithiwa na mdau mmoja,wapo wanawake wakienda kwenye michepuko wanatoa mzigo,wakirud njia kuu wanamwagia tomato sosi
 
Bora hiyo mara mia, mia nilijua story yako itaishia kwenye majanga ambayo mara nyingi yemenikuta, kila kitu inekwenda sawa, umeshaingia gharama, ukiusasambua mzigo ukifika kwenye kufuli unatia mkono unakutana na ji pad la always limetunaaa kaa kigodoro!!!
Ungeomba "alternative route"...
 
Jamani Mapenzi kitu cha ajabu.

Ila Watu nao wapo wa ajabu vilevile.

Fikiria;
Ni muda sasa mmekuwa mnatongozana,
Baada ya sitaki nataka nyiingi mwishoe Mtoto wa kike anakupa ile 'No inayomaanisha Yes'
Huku akiangalia chini kwa sauti ya puani nahuku akionekana kukuonea soni,
"Basi nitakuja chumbani kwako iIa, Sitaki ukorofi"

Mkware hapo hapo unajua tayari keshajiingiza.

Binti kweli hatimae anakuja room kwako,
Kajikwatua hasa; Yupo Msafi, Kapendeza, Ananukia na ukimuangalia yupo katika Mood ya majamboz kwa 100%.

Sasa mpo kwenye Sofa sebuleni kwako.
Stori mbili-tatu, Mvinyo wa kuwasindikiza kwa pembeni na kila mmoja yupo na Glass yake,
Kila mmoja apendapo mara kadhaa hajipendelei peke yake, anamnywesha mwenzake pia kupitia glass yake
(Sio Uchafu kwa wapendanao mara mojamoja)

Maongezi yananoga...

Unamuomba mhamie room,
Binti Kwa sauti ya puani anakupa si nilishakuambia? "Unaanza ukorofi wako",
Unamvuta kwa kutumia mkono lakini unaona (Mbuzi yake kamba)
Habishi, Kimoyomoyo unajisemea Yess! -Tembo kwa Ubua, -mzee unang'oa leo.

Fasta unabadilisha zoezi,
Unamua kumbeba kabisa unaona kama unachelewa kula Tunda, Vooom mpo kwa room.
Mzee usha taarisha Chumba kwa ajili ya Tukio rasmi la game siku hiyo,

Chumba Kinanukia roses, Huku nako Ipo chupa iliyojaa pomoni mvinyo ule ule mnaoutumia na glass zake tupu pia,
Well ventilated na kuna ukimya na faragha ya kutosha, Upepo wa ki-Feni kwa mbaaali, Sio sana.
Sub-Woofer yako nayo haipo nyuma,
Inachombeza pembeni kwa muziki muororo na laini lakini ni instrumental tu na umeiset non-stop mode.

Unaanza kumbusu mashavu ana tabasamu na anakupa ushirikiano,
Unaendelea, Unalamba Shingo huku unatomasa hapa na pale aili mradi kuamsha mshawasha,
Alhamdulilah unapewa ushirikiano wa kutosha pia.

Alaa!! kumbe ushapewa kibali cha kutali katika mwili wa binti huyu?
Dunia ya nani tena kama si yako wewe pekeyako?

Unaanza kujisaulisha viwalo, Hee binti nae anawajibika kusaula vya kwake,
Unajisemea kimoyomoyo mambo si ndio haya!,
Romance inaendelea na mwishowe wote mko kama mlivyozaliwa;Mataarisho yanaendelea,
shika hapa shika pale, nyonya hapa nyonya pale, tomasa huku.. ...

Mnaingia kwenye main event.

Mambo Si haba Kila kitu kipo kama ulivyotegemea,
Binti mzuri,mtamu na mjuzi pia.

Ila sasa,
Anaufunika uso wake kwa Viganja vya mikono yake almost muda wote wa majamboz .
Eti, Anakuonea aibu.

WAT IZ ZIS??

Kuna watu wa ajabu jamani.
Halo wewe wa wapi? Kufunika uso ndo kokwa ya raha wewe!Ni kama anakuambia:Nataka kusikia dushelele linavyoingia ila sitaki kuliona!!
 
hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahhahahaha nimeipenda hiyo....Dah ulivyopangilia km muvi naangalia vileee:clap2::smile-big:
 
nilipata kuhadithiwa na mdau mmoja,wapo wanawake wakienda kwenye michepuko wanatoa mzigo,wakirud njia kuu wanamwagia tomato sosi
Kama mzigo ni wako, i expect utakua unajua tarehe zake kwa hiyo hapa mi sidanganyiki asee, tarehe zipo kwenye diary kabisa! Pia mzigo wa siku zote unaweeza kuutafuna tu hata kama unavuja, haina noma as long as unajua hauna magonjwa ya ajabu ajabu na huna kinyaa cha kuogelea kwenye damu chafu!
 
Hapo inakuwaga poa kama kweli papuchi yake iko ndogo na tight yaan kama ishapitiwa basi ni kwa uchache sana bado tight tight. Lakini unakuta wengine wanajifanya wanaona aibu lakini ukija kuingia kunapo papuchi unakuta kubwa kama karai, unazama pamoja na makende yako yote, kituo hakuna kutoka Tegeta mpaka Mbagala!
Noma sanaaaa
Duu! simo.
 
Kama mzigo ni wako, i expect utakua unajua tarehe zake kwa hiyo hapa mi sidanganyiki asee, tarehe zipo kwenye diary kabisa! Pia mzigo wa siku zote unaweeza kuutafuna tu hata kama unavuja, haina noma as long as unajua hauna magonjwa ya ajabu ajabu na huna kinyaa cha kuogelea kwenye damu chafu!

Huo ukware sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom