Umesoma vitabu gani mwaka 2018?

  1. Transcendental Magics
  2. Truth and Fiction in The Da Vinci Code
  3. The Search For The Manchurian Candidate
  4. The Other Side of Me - Sidney Sheldon
  5. A Stranger In The Mirror - Sidney's
  6. The Apocalypse Watch - Robert Ludlum
  7. Aweken The Giant Within - Anthony Robbins
  8. Zero Limits
  9. The Altman Code - R Ludlum
In fact list ya Fiction Books ni ndefu zaidi mpaka naona aibu kuviweka vingine aisee, I need to change.

Get into something else this 2019.
 
Shukran.

Kila Jambo linawezekana, Msanii Nas anasema You can be anything in the World.

Nadhani Mpangilio wa Muda Ndio jambo kubwa na la Muhimu.

Japo kunausemi wa "Epuka Hitimisho la Jumuishi" lakini Wakati mwingine tunaivunja Manaake Hamna namna, Africa Wengi tunamuda Mwingi,mbaya zaiidi tunatumia kupiga majungu,fitna na Soga.

Taratibu kidogo ukitenga muda vizuri unasoma vitabu vingi.Pamoja na changamoto za Maisha za kila mwanadamu,Naamini kila mtu anachangomoto inaweza kuwa Afya,Uchumi,Mahusiano,nk lakini simbaya kuwa na muda nakusoma vitabu walau kwa uchache.

Nilikuwa napitia taarifa moja Wakidai kwamba Wayahudi ndio wanaongoza kwa Usomaji vitabu Kwa mwaka 64 Wastani mtu Mmoja,huku wakifatiwa na Japan vitabu 40 na USA vitabu 22.

Read more Learn More Change The Globe.

Sema Mimi simpenzi sana wa kusoma Fiction au Novel naona kama vile narudia kumsoma Eric au Irine Mwafumpe ndauka(Jamani babu kaju,Kipande cha Sabuni).

Sent using Jamii Forums mobile app

Mimi kila nikijaribu kujitoa kwenye Fiction najikuta narudi, huwa nikisoma Motivational Books najikuta kama ni almost copy paste, nikija kwenye History nakomaa lakini mara chache sana kumaliza kitabu, Political Themes atleast, nitajitahidi kuchange Genre hii 2019 angalau nisome hata 20 tofauti na aina nilizozoea.

Hope nitafanikiwa.
 
Ya inawezakana,Na naamini utafanikiwa.

Non fiction kwakweli huwa ndio Napendelea sana,Self help book vipo vyema sana.

Mimi huwa nikikutana na Mtu anataka kuanza utamaduni wa kusoma vitabu huwa namwambie ni nzuri kuanza na Self help book kama vile The Magic of thinking big,You can Win,Thinking,Fast,& Slow,No Excuses na mfanono wa hivyo kisha unatafuta vitabu vya field yako au unavyoona vinakufaa kwa Wakati huo.

Kuna Noah harari kitabu chake hasa cha historia ya Ulimwengu Homo sapiens kipo vizuri sana ,au vitabu vya historia Ya Mtu mweusi.

Kunawaandishi wa vitabu wapo vizuri sana wanavutia na kusisimua.

Japo wengine tunaweza kusema vitabu vinavyotiwa chumvi ndio huwa vinapata mauzo na kupendwa na Wengi.

Kwa mfano kitabu cha Rich Dad Poor dad by Robert kuna guru mmoja alisema kwa kiasi kikubwa kitabu ni Fiction ila kimepozi kama Non fiction na kina Wrong Ideas,Bad &Dangerous Idea.

Lakini Kuna watu wanasoma vitabu ni balaa tupu,

Nadhani kuwa na Mwongozo kwa wasomaji wazuri ni nzuri zaiidi ilikupata kusoma vitabu bora kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya inawezakana,Na naamini utafanikiwa.

Non fiction kwakweli huwa ndio Napendelea sana,Self help book vipo vyema sana.

Mimi huwa nikikutana na Mtu anataka kuanza utamaduni wa kusoma vitabu huwa namwambie ni nzuri kuanza na Self help book kama vile The Magic of thinking big,You can Win,Thinking,Fast,& Slow,No Excuses na mfanono wa hivyo kisha unatafuta vitabu vya field yako au unavyoona vinakufaa kwa Wakati huo.

Kuna Noah harari kitabu chake hasa cha historia ya Ulimwengu Homo sapiens kipo vizuri sana ,au vitabu vya historia Ya Mtu mweusi.

Kunawaandishi wa vitabu wapo vizuri sana wanavutia na kusisimua.

Japo wengine tunaweza kusema vitabu vinavyotia chumvi ndio huwa vinapata mauzo na kupendwa na Wengi.

Kwa mfano kitabu cha Rich Dad Poor dad by Robert kuna guru mmoja alisema kwa kiasi kikubwa kitabu ni Fiction ila kimepozi kama Non fiction na kina Wrong Ideas,Bad &Dangerous Idea.

Lakini Kuna watu wanasoma vitabu ni balaa tupu,

Nadhani kuwa na Mwongozo kwa wasomaji wazuri ni nzuri zaiidi ilikupata kusoma vitabu bora kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app

Nimewahi kusoma vitabu kama 5 vya Kiyosaki (Including 2 alivyofanya na Trump) naona kama chai nyingi, wao wanadai wanatu-inspire lakini in real sense wanatutumia kuuza vitabu vyao.

Vitabu ninavyovielewa angalau huwa ni psychological books, Ben Carson's 3 books ni very inspirational of course. Nitajitahidi kubadilika this time around.

I think historical books will be the on top of the list on my scale of preference.
 
1, Who Stole My Spear? Tim Samuels.
2, Africa`s Liberation The Legacy of Nyerere Edited by Chambi Chachage & Annar Cassam.
3, Proof of Heaven A Neurosurgeon`s Journey into the Afterlife by Dr Eben Alexander.
4, The Autobiography of Martin Luther King, JR Edited by Clayborne Carson.
5, Being Mortal by Atul Gawande
6, Complication by Atul Gawande
7, Fighter`s Fact Book 2 written and edited by Loren W. Christensen ( Street Fighting Essentials).
8, Tupac Amaru Shakur 1971-1996 by the editors of VIBE.
9, Mike Tyson Undisputed Truth My Autobiography by Mike Tyson with Larry Sloman.
10, Brit(ish) : On race, identity and belonging by Afua Hirsch.
11, Why I am no Longer Talking to White People About Race by Reni Eddo-Lodge.
12, The Rose That Grew from Concrete by Tupac Shakur.
 
Kabisa kabisa.

Umakini unahitajika katika kuchagua na kusoma vitabu.

Jambo naloliona nila muhimu sana Ukimaliza kusoma kitabu flani ni bora kujaribu kutafuta na kuangalia sehemu mbali mbali Watu wasomaji wametoa maoni gani kuhusu kitabu hicho(Kupondea/kukosoa/kusifia) na wewe kama mwamuzi wa Mwisho unamaoni gani kuhusu kitabu.

Safi sana,Ben nimewahi kusoma kitabu chake kimoja tu.

Kama unataka usome vitabu vya historia,naomba ujitahidi usome Homo sapiens by Noah Harari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi kila nikijaribu kujitoa kwenye Fiction najikuta narudi, huwa nikisoma Motivational Books najikuta kama ni almost copy paste, nikija kwenye History nakomaa lakini mara chache sana kumaliza kitabu, Political Themes atleast, nitajitahidi kuchange Genre hii 2019 angalau nisome hata 20 tofauti na aina nilizozoea.

Hope nitafanikiwa.
Wanasema kuna writer's block. Mi nahisi pia kuna Reader's block. Kuna kipindi unakua huoni genre gani usome. Mpaka mkutane hivi na watu ndiyo unapata idea ya vitabu vizuri vya kusoma. watu humu wammemention kitabu cha Trevor Noah. Sikuwahi hata kukisikia. Saahivi nakisoma na ni kitabu bomba sana. Nafikiri kujadilijadili vitabu kunasaidia sana.
 
Kabisa kabisa.

Umakini unahitajika katika kuchagua na kusoma vitabu.

Jambo naloliona nila muhimu sana Ukimaliza kusoma kitabu flani ni bora kujaribu kutafuta na kuangalia sehemu mbali mbali Watu wasomaji wametoa maoni gani kuhusu kitabu hicho(Kupondea/kukosoa/kusifia) na wewe kama mwamuzi wa Mwisho unamaoni gani kuhusu kitabu.

Safi sana,Ben nimewahi kusoma kitabu chake kimoja tu.

Kama unataka usome vitabu vya historia,naomba ujitahidi usome Homo sapiens by Noah Harari.

Sent using Jamii Forums mobile app

Yes, huwa nacheki reviews baada ya kumaliza kusoma kitabu Fulani, na ndiyo imesababisha Dan Brown nimwone Famba, issue kibao anazoita Fact ukifatilia unakuta ni Fictions, kila review kwenye vitabu vyake nilivyosoma ilimkataa.

Kuna series yake yenye Angels and Demons, Da Vinci Code, The Lost Symbol, Inferno na The Origin, sehemu kubwa ya vitabu hivi kuwa best selling ni kwa sababu ya kuponda kanisa au kugusa issue za imani na secret societies.

Baada ya kupata kitabu Cha The Truth And Fiction in The Da Vinci Code ndo nilielewa zaidi jamaa alivyotuchakachua.

Hivyo vitabu vya history nitavitafuta nianze hata kimoja early January.
 
Wanasema kuna writer's block. Mi nahisi pia kuna Reader's block. Kuna kipindi unakua huoni genre gani usome. Mpaka mkutane hivi na watu ndiyo unapata idea ya vitabu vizuri vya kusoma. watu humu wammemention kitabu cha Trevor Noah. Sikuwahi hata kukisikia. Saahivi nakisoma na ni kitabu bomba sana. Nafikiri kujadilijadili vitabu kunasaidia sana.

Sure, ni kama vile movie tu, kuna wale mpaka tuambiwe movie fulani ni kali ndo tunaiangalia.

Na usomaji wa vitabu ni muhimu kupata ideas kutoka kwa teammates, hasa previews kama hizi.
 
you'll all excuse me 'cause of usin' broken english outta here buddies('cause i'm still learnin' this language),but hey here we go with my list since january

1.My daily's reading.
-Bible
-Advanced english grammer
-longman english grammer

2.Fiction books(novel only)
-Godfather's revenge( the continuation of MARIO PUZO'godfather)
-The sicilian
-hit and run(the best novel of chase to me)
-Guest of honor(classic novel from Irriving wallace)
-No business of mine
-kusadikika

3.Outobiographies.
-outobiography of elon musk and
-outobiography of steve job

4. Non fiction
-Intelligent investor

period.
-
 
Boss natafuta hicho kusadikika aisee
 
Mmenifanya nikianze 21 answer for 21 century huyu mama kweli historian..hayupo biased na anareference ya kila kitu big up
Mzee hapa unazungumzia new age movements au Kuna kingine?ni Kama nimekuelewa hapa manake siku hizi no mambo ya vibe, universe, meditation, go vegan,aura na kuendelea au tumeelewana vibaya
 
Boss umeniinspire jana nmekata EMPIRE STATE OF MIND 200 pages in 12 hours
 
Attachments

  • Screenshot_2018-12-30-09-44-31.png
    Screenshot_2018-12-30-09-44-31.png
    31 KB · Views: 106
Nimesoma "Thinking Big "by bern Carson
"Kujipatia Mchumba" by CCT EMAU
Bible
naomba msaada wa list ya vitabu vya Field ya Engineering
 
Boss unaweza tupia hivyo vya shakur
1, Who Stole My Spear? Tim Samuels.
2, Africa`s Liberation The Legacy of Nyerere Edited by Chambi Chachage & Annar Cassam.
3, Proof of Heaven A Neurosurgeon`s Journey into the Afterlife by Dr Eben Alexander.
4, The Autobiography of Martin Luther King, JR Edited by Clayborne Carson.
5, Being Mortal by Atul Gawande
6, Complication by Atul Gawande
7, Fighter`s Fact Book 2 written and edited by Loren W. Christensen ( Street Fighting Essentials).
8, Tupac Amaru Shakur 1971-1996 by the editors of VIBE.
9, Mike Tyson Undisputed Truth My Autobiography by Mike Tyson with Larry Sloman.
10, Brit(ish) : On race, identity and belonging by Afua Hirsch.
11, Why I am no Longer Talking to White People About Race by Reni Eddo-Lodge.
12, The Rose That Grew from Concrete by Tupac Shakur.

READERS ARE LEADERS
cc
VITABU
 
Wakuu ni mwisho wa mwaka tutumie hizi siku zimebaki kujitathmini usomaji wetu kama ilivyo deaturi yetu.

Mi usomaji wangi haukuwa mzuri. Nimesoma vitabu vitatu na vingine viwili sikumaliza.
1.A god who hate. Hiki kuna member Alisina niliona amekiupload.Nikakipakua na kikanivutia kusoma. Huyu mama muandishi anaeleza maisha ya mwanamke wa kiislamu na magumu yake. Pia anashutumu imani hiyo. Kinavutia na rahisi kusoma.

View attachment 969204

2. 1984
Hiki kitabu nilianza kusoma muda ila mwaka huu nikashawishika kukimaliza. Ni fiction lakini kipo serious sana. Kinazungumzia ubaya wa ujamaa, serikali ya mabavu, uminyaji wa uhuru nk.Wakati wa Nyerere kilipigwa Marufuku sijui kama wamekifungulia.
View attachment 969669
3.The Capitalist Nigger. Haka kakitabu kuna mdau alikaweka humu ndani. Ni katkitabu kafupi kama page 50. Kanazungumzia hali ya mtu mweusi hasa kiucgumi na kielimu. Kana idea nzuri ya jinsi mtu mweusi anaweza kukomboka. Ila kaba lugha kali.View attachment 969670

4.Kitabu changu.Niliandika na kuchapa kakitabu mwaka 2013. Huwa karibu kila mwaka nakasoma. Na kila nikikasoma napata kitu kipya!!!

5.The man who mistook his wife for a hat.
Hiki kitabu nilianza zamani kusoma lakini sijakimaliza. Ni kitabu kifupi na kinavutia sana.Kinazungumzia wagonjwa wa akili wenye matatizo adimu na ya kushangaza.
View attachment 969679

6.The politics book.
Haka kakitabu kanaelezea historia ya siasa toka zama za zamani kabisa. kanaeleza kwa njia rahisi na fupi. Ni kazuri ila sijakamaliza bado.
View attachment 969683

Malcom Lumumba , Kiranga Wick mitale na midimu Nalendwa zitto junior MSEZA MKULU et al
Aiseee hiv vitabu inapatikana wapi humu maana n.a. me ni msomaji sana wa vitabu aina . Inspiration Books

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom