Umesikia hiyo?

Ehud

JF-Expert Member
Feb 12, 2008
2,685
337
Marekani walitengeneza mtambo wa kugundua wezi,Wakafanyia majaribio kwa nchi nne za africa .

  1. South Africa ulichukuwa siku saba ukakamata wezi wanne,
  2. Nigera siku moja wakamatwa wezi 30,
  3. Kenya ndani ya masaa 6 wakamatwa wezi 69 na
  4. Tanzania ndani ya saa moja tu na mtambo wenyewe ukaibiwa......duh
 
Duh! Kali ya leo. Nafikiri baada ya nusu saa hata hao waliokua wanafanya majaribio wangeibwa!
 
marekani walitengeneza mtambo wa kugundua wezi,wakafanyia majaribio kwa nchi nne za africa .
  1. south africa ulichukuwa siku saba ukakamata wezi wanne,
  2. nigera siku moja wakamatwa wezi 30,
  3. kenya ndani ya masaa 6 wakamatwa wezi 69 na
  4. tanzania ndani ya saa moja tu na mtambo wenyewe ukaibiwa......duh

  1. [/list]

  1. Naona TZ haukufika hata katika ofisi ulikotarajiwa. Kama ulitoka air port na hizi foleni uliibiwa maeneo ya tazara au palepale airport wakati wa kuutoa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom