UMESIKIA - Chrome OS - nothing but the web

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,943
0
Big up kamanda hii kitu nimesikilza naona google wanakuja kuwakamata microsoft

Nimejaza na fomu ya kuombba nitumiwe notebook yao ya kwa jili ya pilot testing.

anayependa asikilize hiyo slide hasa ya kwanza hasa sehemu ya mwisho aapate mmaelezo ya kujaza fomu na kujaribu bahati ya kupata chrome notebook ya majaribio

Bahati nasibu inafungwa 21 december.
 

Chamoto

JF-Expert Member
Dec 7, 2007
6,352
2,000
G()()gle is a data mining company, their main objective
is to collect information. They use that information to
check user's behavior in hope that they will monetize it
in one way or another.

Recently they've been aggressive (read greedy) due
to pressure they get from their shareholders. Nothing
wrong with that but if you use technology to process
sensitive data online then that for sure is not want
you want.

Look! they started with chrome (browser) to take
advantage of data processed via http/https request
(POST, GET and header information). Earlier they
couldn't get all user's data because they didn't control
the browser. Not forgetting that some savvy people
disable cookies and javascript when they are concerned
about their privacy.

So I'm not bitching here but it's just a wake up call to
all who want to use their new operating system
(chrome).

SO BE CAREFUL.

When you use their product (browser or OP) to login to
jamiiforum or facebook you bet they gonna collect your
username and password. How they gonna use it later who
knows? But if you happen to come up with a new
technology to process data quicker don't be surprised
to find g()()gle has already patented your idea.

Just my $0.02
 

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,943
0
G()()gle is a data mining company, their main objective
is to collect information. They use that information to
check user's behavior in hope that they will monetize it
in one way or another.

...............

Mhhhhhhh
kwa hiyo watu waache kutumia internet waache kutmia search engine ( google., bing. ask. com, etc ) waaache kutumia Mobile phone. Waache kutumia free mail adress( Hotmail. yahoo gmail.etc)?
Je unajua Firefox org wanatumiaje anlysis ya traiffic zinazopitia kutumia application yao?

If u re that much sceptic then u should be tottally disconneted. and go back to Iron age. This is digital age being online is not an option.

and for the Chrome OS user have an option to use it online or offline . If u worry about re u privacy u can work offline forever.
 

Chamoto

JF-Expert Member
Dec 7, 2007
6,352
2,000
Mhhhhhhh
kwa hiyo watu waache kutumia internet waache kutmia search engine ( google., bing. ask. com, etc ) waaache kutumia Mobile phone. Waache kutumia free mail adress( Hotmail. yahoo gmail.etc)?

If u re that much sceptic then u shoub be tottally disconneted. and go back to Iron age. This is digital age being online is not an option.

and for the Chrome OS user have an option to use it online or offline . If u worry about re u privacy u u can work offline forever.

Naona hujanipata vizuri mkuu...

Sikusema usitumie g()()gle kama search engine bali KUWA MWANGALIFU
unapotumia bidhaa zao.

Mfano kama unafanya SEO (seach engine optimization) kuchakachua SERP
(search engine result pages) yao ni heri kutotumia product yao ya chrome
(browser au OP) ambayo itawapa uwezo wa hali ya juu katika kujua unafanya
nini mtandaoni (footprints).

Kwa mfano kama ume design a game play ya kutengeneza links nyingi
(link farm)
ni vyema usitumie product zao kwasababu wataweza kuku-sandbox.

Je unajua Firefox org wanatumiaje anlysis ya traiffic zinazopitia kutumia application yao?

Firefox ni open source kwahiyo hawana mpango wowote na watumiaji
kama mimi na wewe. G()()gle wanajulikama kwa hicho nilicho kisema.
kumbuka hapo nyuma cookies zao zilikuwa zinakaa mpaka 2038 watu
wanaojua wakalalamika ndiyo Uncle Sam (Us Government) akawalazimisha
kupunguza muda wa hizo cookies.
 

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,943
0
Naona hujanipata vizuri mkuu...

..........

Mkuuu nimekupata vizuri kuhusu hizo risks. Lkini hizo ukweli risk haziepukiki. Hata ukiacha kutumia product zao zote google wakiamua kutaka kujua private info za user wote wa jamii forum hawashindwi.

Search engine ya google ikikusanya data za DNS zote duniani no matter umetumia LInux , Ubuntu, Safari watajua wanachohitaji kujua kuhusu watu wengi. Wanaweza kujua IP adress .x.x.x.x inamilikiwa na chamoto hata kama hujatumia product zao.

Google wakitaka kujua behavior za member wa jamii forum watazijua zote hata kama member wote hatutumii product zao.

This is world is so integrated My friend. Disconnecting one or two hooks does not remove you from the network

But nashukuru kwa elimu za sandbox. That my term of the day
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom