Iyokopokomayoko
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 1,785
- 441
Umeshawashinda hawa wote watatu? yupi bado anakusumbuwa kati ya hawa?
1. Ujinga
2. Maradhi
3. Umaskini
1. Ujinga
2. Maradhi
3. Umaskini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe mwenye uzi
...ukimshinda babayao anaitwa ELIMU,hao hawatakusumbua. Note: elimu sio kwenda darasani ni uwezo wa kutumia kile cha mudarasani...
Umenishinda mimi?
Maradhi amenishinda ukipona mafua dengue inasubiri
iyo list yote inasababishwa na chama cha masela so all of them yanasumbua sana!
Nilidhani unauliza.
SIGARA
NYUMBA NDOGO
POMBE
mimi nimeshindwa kuviacha.Kama kuna dawa naiomba taf.
Nimekupata mkuu, lakini ukiacha chama, wewe mwenyewe umefanya nini kupigana na hao maadui?