Umeshawahi toka nje ya ndoa?sali sala hii ya rehema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeshawahi toka nje ya ndoa?sali sala hii ya rehema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Oct 3, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Wapo wengi wanateseka na tatizo la kutoka nje ya nyumba..ndoa nyingi zinamsuguano unaopishana leo hii Mungu yupo kwa ajili ya kuokoa ndoa yako
  sali sala ifuatayo..moja ya masharti ni kuwa na mkeo pembeni usigope wala kuona aibu....

  Bw YESU NAKUJA MBELE ZAKO,MIMI.........(TAJA JINA LAKO) NAOMBA MUNGU UNIHURUMIE KWA HURUMA YAO YA UKOMBOZI;NIREHEMU MIMI NA UOVU WANGU WOTE;UNISAMEHE ,UNIHURUMIE KWA WINGI WA REHEMA ZAKO
  REHEMU UOVU WA MUME/MKE WANGU REHEMU UOVU WA BABA/MAMA YANGU(TAJA MAJINA YAO)..KATA KITOVU CHA UKOO KINACHOUNGANISHA MUME/MKE WANGU NA UOVU WA WAZAZI WAKE NA BABU/BIBI ZAKE;KWA KUWA MUNGU UNABATILIZA UOVU WA BABU ZETU KIZAZI HATA KIZAZI;TUNAISHI KAIKA LAANA ZA WAZAZI WETU;NAOMBA REHEMA ZAKO NA WINGI WA MSAMAHA NA HURUMA ZAKO MFALME
  ---USIKUMBUKE ABISA UOVU WETU BALI KUMBUKA TENDO LAKO HALISI LA PALE MSALABANI KWANI ALIKUFA KWA AJILI YA DHAMBI ZETU

  BW YESU NAOMBA URUHUSU DAMU YAKO IMUOSHE NA KUMTAKASA MUME/MKE WANGU(TAJA JINA) USIANGALIE UOVU WAKE BALI KUMBUKA REHEMA ZAKO NA HURUMA ZAKOMAANA WEWE NI MUNGU WETU;ULITUUMBAKWA MFANO WAKO,NA KWA SURA YAKO ILI TUKUABUDU NA KUKUTUMIKIA ;NIOSHE NA KUNITAKASA;UNIKUBALI KUWA MWANAO((TAJA DHAMBI UIZOFANYA UNAZOZIKUMBUKA)
  --NA HIZI DHAMBI ZOTE LEO HII YESU NAOMBA UNITAKASE NA KUNIOSHA KWA AMU YAKO YA THAMANI..NISAMEHE UOVU WA VIUONO VYA MUME/MKE WANGUUTUTAKASE KWA DAMU YAKO KATIKA JILA LA YESU KRISTO ALIE HAI

  AMINA


  SALI SALA HII KILA MARA USISALI KAMA UNASOMA GAZETI SALI KUTOKA MOYONI NA MUNGU AKWAPONYESHE NDOA ZENU/FAMILIA ZENU
   
 2. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Amen
   
 3. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #3
  Oct 3, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  MAMAMIA ARE U MARRIED I WISH I COULD HAVE U , SEMA UMESHAKUWA MKUBWA , UNAONYESHA KUJALI SAANA

  "Do I Love You"

  Beyond the shadow of a doubt,
  As the mighty river flows,
  As the meadow gale plays,
  With the wind on summer days.

  About as deep as deep can go,
  From the canyons to the sky,
  Like a mother as she cares,
  For the baby that she bears.

  Do I love you? Don't you know by now?
  Do I love you? Must I show you how?
  Do I love you? Do I have to say?
  Do I love you? Yes in every way.

  About as sacred as a hymn,
  And a bible full of prayers,
  From a whisper to a roar,
  Very much and even more.

  Let me show it with my eyes,
  And I'll share it with the night,
  If in death the Lord is kind,
  You'll be the last thing on my mind.

  Do I love you? Don't you know by now?
  Do I love you, Must I show you how?
  Do I love you? Do I have to say?
  Do I love you? Yes in every way.
   
 4. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180

  Nitajuaje kama kweli nimesamehewa?
   
 5. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #5
  Oct 3, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Toka tena nje ya ndoa
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Oct 4, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Nitajuaje kama kweli nimesamehewa?

  SALI SALA HII KILA MARA USISALI KAMA UNASOMA GAZETI SALI KUTOKA MOYONI NA MUNGU AKWAPONYESHE NDOA ZENU/FAMILIA ZENU
   
 7. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #7
  Oct 4, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Toka tena nje ya ndoa

  USHINDWE KWA JINA LA YESU.... ILA USILEGEE
   
 8. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #8
  Oct 4, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Some feel good therapy that ignores the search for the root of the problem and a restoration of equilibrium in the scale.
   
 9. M

  Magezi JF-Expert Member

  #9
  Oct 4, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  we should practice what we preach
   
 10. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #10
  Oct 4, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  This is very not unfair
   
 11. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #11
  Oct 4, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  sasa Mama mia Hii ni sala au ni duwa ya maombi ?naona maelezo yako umeyaweka shahala bahala.
   
 12. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #12
  Oct 5, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,593
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  MamaMia, nina swali la kizushi,

  Hivi kitu gani kinaonyesha kuwa huyu mtu ana ndoa? je ni kuishi pamoja, kuapa kanisani, kuvaa pete n.k

  Swali je watu wanapoapa kanisani huwa wanaapa toka moyoni na wanakiamini wanachokiapa au ni USANII??

  NACHELEA KAMA NI USANII, na watu hawa sio genuine follower wa hizi dini, BASI NDOA NYINGI NI MAIGIZO!!

  NA KAMA NI MAIGIZO basi wanachofanya ni kukubali kukaa pamoja wakibatiza jina la uhusiano wao ni ndoa, hasa katka nyakati hizi za 'ujauzito na harusi'

  Ndoa inaanzia moyoni, then mtu wa namna hiyo akikosea na akasema maombi kama yako(siyo lazima ameze maneno yako) huku akijutia na kulia basi huyo mtu anasamehewa

  Just Imagine yule uliyempa gia ya kutoka nje ya ndoa, akishafanya anatafuta sala ya MAMAMIA then life goes on...LOL,

  I am teasing, ila nimekutana na case moja kuna mtu alitoka njea ya ndoa akalala na Housegirl, baada ya kufumaniwa na kuambiwa anatoka nje ya ndoa, akasema hajatoka njea ya ndoa, ndoa ni nyumba na watu wanapeana unyumba, kwa hiyo hajatoka nje ya nyumba yuko humo humo....na housegirl.

  Ndoa za siku hizi tuombeane kwa Mungu

  Thanks for reminding people
   
 13. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #13
  Oct 5, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Just Imagine yule uliyempa gia ya kutoka nje ya ndoa, akishafanya anatafuta sala ya MAMAMIA then life goes on...LOL,

  I am teasing, ila nimekutana na case moja kuna mtu alitoka njea ya ndoa akalala na Housegirl, baada ya kufumaniwa na kuambiwa anatoka nje ya ndoa, akasema hajatoka njea ya ndoa, ndoa ni nyumba na watu wanapeana unyumba, kwa hiyo hajatoka nje ya nyumba yuko humo humo....na housegirl.

  Ndoa za siku hizi tuombeane kwa Mungu

  Thanks for reminding people

  GREAT MAN BIG UP;NYC IDEAS
   
 14. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #14
  Oct 5, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Haya wee. Tuzidi kuomba na kuombeana maana mhhh
   
Loading...