Umeshawahi panda/endesha gari ya Mkata Kimeo?

Kuna siku nimetoka kupandisha milima ya goba narudi zangu home, nakaribia kabisa home gari ikaanza kuchemsha. Sijawahi kukutana na shida kama ile. Ndo mara ya kwanza. Niliikokota taratibu mpaka home.

Usiku mzima niligeuka fundi, usingizi hauji. Kesho yake nilitakiwa nisafiri nayo. Ikabidi nimuite fundi umeme akagundua kuna sensor inayoregulate cooling imekufa. Nikaifunga nikasafiri muda huohuo.
Hapo ulitamani members wote WA jamiiforum waje kukusaidia....Magari Bana ni noma
 
Nilichogundua ni kwamba, haya magari ya kisasa ni mazuri kuliko ya zamani kwasababu ni rahisi kujua tatizo.

Ukipata shida diagnosis inakupa jibu. Yale ya zamani unaishia kupiga ramli tu.

Manake kila fundi nikimpigia ananipa story nisizozielewa. Ila fundi alivyokuja na mashine yake akajua shida ipo wapi.
 
Mwaka 1998 nlipanda gari ya jamaa yangu. Benz akanishawishi sana siku hiyo twende Morogoro na gari yake akaoneshe ndugu zake ana Mercedes Benz.

Hapo kabla nlienda naye ila tulitumia gari yangu. Ile safari siwezi isahau...ilikuwa na kwikwi nyingi na chafya mfululizo gari kila baada ya muda tunakata kimeo.(kufungua bonnet kujaza maji)

Hadi raha ya safari iliisha maana tulikuwa na madumu ya maji kwenye gari na tukifika vijjini tunaenda omba maji. Tulifika Morogoro lakini kwa mbinde sana. Tulifikia hatua tukawa tunapokezana kushuka kujazia maji.yaani ile gari mtu angedhani badala ya petrol inatumia maji.

Leo nmefika sehemu moja nikawaona jamaa wamefungua bonnet Toyota Opa pembeni ya barabara wapo vijana kama 6 hivi wanaangalia kwenye bonnet gari inatoa mvuke ile mbaya.

Gari ilikuwa kama ya kujivukizia Corona. Ingakiwa miaka hii mle ndani tungeweka limao,mwarobaini na tangawizi so ikitembea mwendo flani tunaenda jifukiza.

Umewahi kutana na gari ya namna hii spana mkononi?au ndo ya kutembea na maji muda wote? Gari ya mkata kimeo.

dah umenikumbusha mwaka jana nilifanya safar na swahiba wangu na IST yake... tuliamua kwenda route ifuatayo

Dar - Moshi/Arusha - Dom kupitia babat - Makambako iringa kupitia mtera- Njombe - Songea - kurudi Ruvuma, then Mtwara kupitia tunduru - then Lindi kisha kurud Dar

safar tulipanga 7 to 10 days.. kwenda na kurud pia sio mara ya kwanza kufanya hivyo ila ilikuwa mara ya kwanza kwa IST yake ambayo kununua second hand kwa mtu.. na alikuwa ameunganisha na tank la gas.. walimwambia atapata 150km mtungi wa kilo 9

ila kufika chalinze ukakata tukahamia kwenye mafuta.. shugul ilianzia Himo.. ngoma ikazima ... kutoka saa moja had saa 3 tunahangaika kila
fundi anatuambia lake.. gari ikawaka hatujui tulifanyaje ila ikawa km 3 had 5km inazima tunasubir dk 15 tunaendelea.. yaan safar nzima
ilikuwa hivyo mara vvti sensor , mara rejeta, mara plug,

ila sisahau ilipokufa sensor ambayo inakaa kwa
chin ya taa upande wa abiria mbele .. sensor ilikufa saa 12 mbele kdg ya makambako tunaitafuta njombe... ndo nilijua barid la makambo noma .. kulikuwa na mafuta ya maji ya kujipaka na tulikuwa na chupa za maji.. had kufika saa 10 ngoma bado.. tumechafuka.. nachek maji yameganda na .. tukaomba maaada gari ikavutwa had makambako town.. sitasahau nilijichanganya nikanunua maji kunawa mikono dah.. kama
mtu anakata mikono na viwembe.. makambako kuna Barid had net ukigusa ya barid..

anyway tulikomaa kesho yake tukanunua sensor ingine tukaendelea na mwendo wetu wa kifafa.. yaan kila km kadhaa gar inazima.. tunaacha inapoa.. tunajaza maji tunaendelea...

ila ya mwishon ikagoma pori la selous wakat tunaitafuta dar kutoka lindi mida ya saa 10 .. ila baadae tukajua ili twende umbal mrefu bila gar kuzima tu maintain speed ndogo gar isichemshe haraka.. tukatembelea speed 40 -50.. tumeingia mbagala sita usiku.
 
Daaah.... Hii safari ilikuwa na adventure ya aina yake. Hakuna kitu kinaumiza kama safari ya masafa halafu gari inatembea mwendo wa Harusi. So mlikua tatua vipi hilo tatizo?
 
tuligungua kuwa tusipozid. 50 walau gar inaenda mwendo mrefu bila kuchemsha.. so tukaenda mwendo wa 40 .. alipofika alipeleka kwa fundi wakabadili makolokolo kibao.. pia plug zilikuwa zimeungua kumbe kwa kuwa aliweka mfumo wa gasi ...wakamwambia kila baada ya miez 3 abadili plugs maana gas inasababisha plugs zinachakaa
haraka.. kiufup ilikuwa inashida kibao kuanzia plugs hadi oxygen sensor.. wakat mwingine haivuti mafuta yaan ilikuwa shida...
 
So hili tatizo la plugs mpaka leo kila baada ya miezi mitatu anabadili?hajapata ufumbuzi wa kudumu?
 
Lakini mwamba alifanikiwa kuwaonesha ndugu zake hiyo Benz ama alipotezea kutokana na adha za kukata kimeo,ila hata hivyo hiyo miaka ya 90 gari nyingi zilikuwa ni za dizain hiyo ya spana mkononi
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom