Umeshawahi kusaidiwa homework na mzazi?

Bishop Hiluka

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
7,140
14,678
Umeshawahi kusaidiwa homework na mzazi halafu ukapata ZERO?
Hapo ndipo unapojua shida sio wewe

Halafu mwalimu akwambie nenda kamlete mzazi wako aje aone upumbavu unaofanya... Mzazi hata kwa bunduki haendi shule...
 
Mm ukoo wetu ndyo mwenye akili toka niko mdgo sijawah kosa swali lolote
 
Niliwahi msaidia mdogo wangu alafu akakosa
Alilalamika huyoooo hadi aibu

Kiranga kimeniisha sasa ameshasahau so akija na viporo vyake namkazia sura namwambia tena ole wako ukakose
 
Umeshawahi kusaidiwa homework na mzazi halafu ukapata ZERO?
Hapo ndipo unapojua shida sio wewe

Halafu mwalimu akwambie nenda kamlete mzazi wako aje aone upumbavu unaofanya... Mzazi hata kwa bunduki haendi shule...
Unakuta mtoto pasuakichwa afu anakuletea taarifa mbele ya mgeni hahaha
 
Back
Top Bottom