Je, ulishawahi kula ada ya shule/chuo? Tuambie uliirudishaje

richaabra

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
1,454
3,469
Jamani hela ya ada ni tamu sana

Sema ukishaila,huwa inakuwaga ngumu kuirudisha,,unaweza kujuta

Mimi nlishawahi kutumbua laki tano ya ada ya chuo ya semester ya pili

Niliitumbua kwa shopping tu yanii

Sema sasa nilijuta jinsi ya kuilipa kipindi cha mitihani kilipofika

Thanx to "my papuchi jamani"

Loooooooh inasaidiaga sometime

Jamani msile ada awamu hii ya tano mtatumbuliwa

1477072103787.jpg
 
Mimi hata wazo la kula ada sijawahi kuwa nalo.

Wazee wangu wanavyofanya kazi ngumu hata huo uthubutu sikuwa nao.Ada yenyew ya kuungaunga.

Namshukuru Mungu huo utundu umenipita.
Nimekupenda burw fettylisher
 
Umenikumbusha mbali aisee, 13yrs ago nilijimegea dola 7200 nikazamia huko dunia ya kwanza. Ziliisha kabla sijapata kazi nusra nipate kichaa, nilipoteza miaka miwili bila kusoma. Ujana shida sana.
 
Umenikumbusha mbali aisee, 13yrs ago nilijimegea dola 7200 nikazamia huko dunia ya kwanza. Ziliisha kabla sijapata kazi nusra nipate kichaa, nilipoteza miaka miwili bila kusoma. Ujana shida sana.
 
Aiseee ada ukila kurudisha ngumu.

Nilipiga government skul advance hapo mjini minaki. Ada ilikua elfu 70 tu kwa mwaka (i hope imesimama hapo hapo). Nikajipa hope ndo kwanza mwanzo wa term nitairudisha kuja kutahamaki imebaki week nimalize shule.

Nikirudi home wataniuliza leaving cert. na Mfukoni sina kitu, kitaa siwezi kupiga mzinga wakanielewa. Ilibid nianze kudalalia vitabu sasa. I was pcb but niliuza vitabu mpk vya history kwa madogo wa form 5. Plus BS yangu nikajikuta nimepata 70.

Ila daah roho iliniuma pale wakati nipo njiani naipeleka ile 70 NMB pale kisarawe daah!
 
Reading between lines I noted you makes fortune out of your pussy selling business. Karibu pm kwa maelewano ya bei. I am a gud customer.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom