Umeshawahi kukutana na swali hili kwenye interview? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeshawahi kukutana na swali hili kwenye interview?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by chitanda.nyoka, Sep 2, 2012.

 1. c

  chitanda.nyoka Senior Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  naomba wana jf mnisaidie ujanja wa kufanya nnapokutana tena na swali kama hili maana nilipigiwa cm na kampuni inaitwa coseke ipo benjamini mkapa tower niliwahi kutuma maombi,nilianza kujiandaa nili download interview questions na jinsi ya kujibu na mengi ya hayo maswali niliulizwa kama nilivyosoma nikayajibu fresh hila swali la mwisho nikaulizwa hv ww kabila gani?nikawa namuangalia nikawa nataka nimwambie me mchaga coz jamaa meno yake km yameoza hl tuwe sawa,wakasema baada wk 3 watapga cm hadi leo mwez 2 kmya,mnaojiandaa na interview mjue interview questions kuna swali jipya mjue jinsi ya kulijibu
   
 2. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Kwa taarifa yako wachaga walio na rangi za meno ni wachache sana na ni wale wachafu au waliokulia mazingira yenye maji mabaya nje ya kilimanjaro.Maji ya Kilimanjaro ni masafi sana na mzuri kulinganisha na vuanzo vingi nchini.

  Watu wengi walio na meno yenye rangi za meno wapo kuanzia Singida hadi Arusha.Na huko wachaga ni walowezi na si wengi.ambao maji yao yana flourides na madini mengine makali.

  Kwa hiyo miscalculation zako zilikuponza.Walikuona mwongo kama CV yako ilisema tofauti.Ungechakua kabila ingine isiyojua hela zaidi ya ngono na msosi ili waamini kuwa watakushikilia muda mrefu kwa hela ndogo.
   
 3. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  Kwa taarifa yako wachaga walio na rangi za meno ni wachache sana na ni wale wachafu au waliokulia mazingira yenye maji mabaya nje ya kilimanjaro.Maji ya Kilimanjaro ni masafi sana na mzuri kulinganisha na vuanzo vingi nchini.

  Watu wengi walio na meno yenye rangi za meno wapo kuanzia Singida hadi Arusha.Na huko wachaga ni walowezi na si wengi.ambao maji yao yana flourides na madini mengine makali.

  Kwa hiyo miscalculation zako zilikuponza.Walikuona mwongo kama CV yako ilisema tofauti.Ungechakua kabila ingine isiyojua hela zaidi ya ngono na msosi ili waamini kuwa watakushikilia muda mrefu kwa hela ndogo.
   
 4. c

  chiborie JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2011
  Messages: 460
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 60
  Du! hii kali, hv watz tumefikia hatua ya kuulizana kabila wkt wa interviw? hama kwel udn na ukbila havitatuacha salama!
   
 5. c

  chitanda.nyoka Senior Member

  #5
  Sep 2, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  najua kua makabila mengi yanahay
   
 6. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #6
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,282
  Likes Received: 1,432
  Trophy Points: 280
  hivi machame na kibosho, uru na old moshi ni nje ya kilimanjaro?

  Get your facts right before you post arawa
   
 7. m

  markj JF-Expert Member

  #7
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  Ooh! Pole, mie mwenzako jana nimeambiwa your not handsome so will you use some cosmetics? Ili nishine kama wao! Nkawaambia ndio, nawaskilizia wakinipigia simu sipokei na siendi tena! Hahaha, bora niendelee kulima mboga zangu za majani tu shamba huku
   
 8. nyaucho

  nyaucho Member

  #8
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mai kuifwenda?
   
 9. z

  zilakina JF-Expert Member

  #9
  Sep 2, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 294
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Mkuu chitanda.nyoka umenikumbusha mbali sanaaa niliitwaga kwenye interview moja "AKIBA COMMERCIAL BANK" Head office niliulizwa mimi kabila gani?,Wazazi wangu wanafanya kazi gani,yaani ilikuwa kama kichekesho sijui hii nchi inaelekea wapi ????
   
 10. c

  charama Member

  #10
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kaka mm naomba hizo link za interview na namna ya kuijbu
   
 11. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #11
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Aisee katika maisha yangu ya kufanya interview sijawahi kuulizwa kabila.
   
 12. c

  chitanda.nyoka Senior Member

  #12
  Sep 2, 2012
  Joined: May 3, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ingia google kisha andika common interview questions and answer utachagua unayotaka,ukishapata hayo maswali kwenye google usisahau kuongeza na hili swali maana nalo limeshakua sehemu ya interview question 'which tribe are you?
   
 13. Freema Agyeman

  Freema Agyeman JF-Expert Member

  #13
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 3,282
  Likes Received: 1,432
  Trophy Points: 280
  kufokisha
   
 14. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #14
  Sep 2, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  ni wewe hujawa makini tuu.hujasoma btn lines.hujaona suala la uchafu katik posting?hao wanakunywa mbege na kubugia ugali hadi late night halafu wanatoboa hivyo hivyo, na asubuhi wanaweza shtua mswaki wa kubeep.Na ndio maana huwa wanchekana ila sehemu ka ar huwa hawachekani kwa vile tayari mazingira yanawaweka hivyo by default.

  Labda hujawahi uliza kwanini Kilimanjaro ni maji yanayoaminika na kupendwa sana.Na kwa taarifa yako wazungu wengi waishio Arusha, huwa watoto wao huwa wanwapa maji ya chupa(kilimanjaro) au hata kupiga gari zao moto kila week hadi moshi,then huchukua maji na kuyaweka katik fridge na watoto kutumia nyumbani na kubeba shuleni kwa wk nzima.Hii ni kwa vile mara nyingi meno huaribika sana yanapotokeza na kukutana na flourides.

  Uchafu na ulaji wa vyakula fulani huaribu meno ya watu dunia nzima.Kuanzis Russia, german, china,japan. canbondia,US, south amerika.Ila wengine uhusishwa na umasikini uliowafanya washindwe nunua dawa za meno, na wengine ni chocholate na matumbaku.Sijui ungemkuta mzungu kaoza meno ungmwita mchaga.
   
 15. nyaucho

  nyaucho Member

  #15
  Sep 2, 2012
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  shifonisha ma........kulolie itondo iylio likeluarara lyashiusi lyikeilibaguzi...ngaliso naasa
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,340
  Likes Received: 19,522
  Trophy Points: 280
  hahhahaha sasa si ungesema wewe ni mchaga?
   
 17. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #17
  Sep 2, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,332
  Likes Received: 2,640
  Trophy Points: 280
  Kuna jamaa naona kakomaa na Wachagga...wenzake wanaelezea ishu za kazi naona yeye anahangaika kuelezea habari za meno...
  Ee bwana ndugu muanzisha thread,ishu ya kuulizwa makabila ipo sana mkuu, kuna vitengo au ofisi wanapeana kazi kutegemeana na makabila au ukanda ili usije kuwa kikwazo. Jaribu kuangalia makampuni ya bia utagundua wengi wa wafanyakazi ni kutoka Uchaggani
   
 18. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #18
  Sep 2, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  ilikua kaz gan?au benk maana kama co hb ndo wanaponda,this is very stpd
   
 19. m

  markj JF-Expert Member

  #19
  Sep 2, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 1,756
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  kumbe je! bank hiyo ndugu
   
 20. YETOOO

  YETOOO Member

  #20
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 25, 2011
  Messages: 83
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi na wewe unamaanisha hayo maeneo yote uliyotaja hapo ndio wenye meno ya rangi?????hao lazima watakuwa walilowea arusha au sehemu nyingine zenye maji mabaya ila hayo maeneo yana maji safiiii na matamu kutoka mlimani direct,..maeeeee nkikiiiii

   
Loading...