Umeshawahi kukata tamaa?

Huyo anayeendesha nchi kwenda wapi?
Pole sana mleta mada.Mungu atende jambo kwa mama yako.
Mleta mada nisamehe tuko nje ya lengo ila mdau ananichokonoa hiki kipindi cha kampeni...tuanze kwanza wewe umesikia wapi anaendesha nchi😂😂
Umesikia wapi?
Mkuu umesikia wapi?
 
Pole sana, wengi tunapitia magumu sana ila ndo hivyo kilio chap samaki...
 
Mimi nimekata tamaa, Nimefika mahali ambapo sioni mbele,nipo mahali ambapo ni kama jangwa sioni tumaini kabisa, Nimechoka sana.

Mama yangu anaumwa kansa,ana fight nayo sana sijui ni kansa ya nini ila imesababishwa na kidonda,alikuwa na kisukari akapata kidonda na icho kidonda hakijapona hadi kimeleta kansa

Tumeangaika mahospitalini sana na sasa yupo kwenye tiba ya chemotherapy

Nmetumiwa message leo kuwa hajashinda vizuri kabisa, natakiwa kwenda

Moyo unaniuma sana mama yangu bado kijana tu.

Nina mambo mengi siwezi elezea yote,nimefika mahali nimekata tamaa kabisa
Pole sana Rafiki..Muamini Mungu kwa kila kitu..Mwenyezi Mungu amponye mama.
 
Kila mtu ana mitihani na majaribu yake..kipindi hiki kigumi mrudie Mungu akawe mfariji wako
 
Back
Top Bottom