Umeshawahi kujilaumu baada ya kufanya mapenzi na mpenzi wako?

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
19,331
14,259
Wapendwa habari za jioni.

Bila shaka kila mmoja wetu ameshashiriki Mapenzi mara kadhaa iwe na mke/mume wako au mchumba au mchepuko au Malaya tu.

Na kabla ya kumpata ulikuwa umemjengea picha fulani kuwa atakuwa na ladha fulani ya pekee na sifa kibao kutokana tu na mwonekano wake wa nje, lakini ulipokuja kukutana naye kwenye 6*6 mambo yakawa tofauti ukajikuta unajilaumu kwa muda na gharama ulizopoteza kimfuatilia hadi kumpata.

Binafsi kuna mwanamke nilimpenda sana nikatumia Nguvu nyingi kumtafuta baadaye ngoma ikatiki lkn kuja kwenye 6*6, alikuwa wa baridi Sana hana mvuto kabisa, nikajilaumu sana kwanini nimepoteza muda wangu na pesa kumtafuta huyo manzi.

Kama na wewe iliwahi kukutokea hali kama hiyo,tuambie tuendelee kujifunza.
 
Screenshot_20211021-210611_1.jpg
 
Back
Top Bottom