Umeshawahi kujilaumu baada ya kufanya mapenzi na mpenzi wako?

Mimi nakumbuka miaka hiyo ya 2004 Niko advance tarime ..nilikuwa na demu mmoja wa mtaani sema alikuwa nae anasoma boarding school mwanza.basi five hadi six yote sikugusa hata shavu ...hata busu sikuambulia..Kila akirudi likizo Niko juu ya mawe..enzi hizo hela za matumizi zinatumwa kwa Scandinavia..
Basi nimemaliza advance nimeenda chuo nimemaliza...Niko kazini nikapata safari ya kikazi shinyanga..kuja kumcheki kumbe naye yupo shinyanga anasoma chuo cha ualimu.
Mpenzi wa zamani hatongozwi..basi nikaomba game..mtoto akaomba ruhusa nikachukua lodge kwa siku mbili...mimi mawazo yangu ni mpenzi wangu wa kipindi kileee..kipotable..mweupeee..mtoto alikuwa mzuri balaaa..wakati nipo lodge nikawa nazama Facebook kuangalia picha zake..nikasema leo ndio leo..
Mara paap saa kumi na mbili jioni mtoto anaingiaaaa .picha likaanzia hapo..Kawa tukunyema ..kumbe wazee washamzalisha watoto wawili fasta fasta..na kajiachia kaharibika balaaa .nishachukua lodge sina ujanja...hiyo sku nilijilaumu sana..nilichakata mzigo nilijilaumu sana....kufika asubuhi nikazuga nimeitwa home..huyoooooo nikasep na kusamehe hela ya lodge
 
Niliwahi mtokea dem mmoja kanizungusha kanilia vihela kiasi, siku kajaa kwanza nimemtoa out Kiwanja kikali bia elfu tano, room ya bei rahisi elfu 80, sikujali kwa kuwa nilimuona matawi. Kuingia room alipovua nilijuta,mapajani na kiunoni kuna yale mamistari mistari, manyonyo kama ndala, nilipiga mara moja tu na sintarudia tena mpaka kiama.
 
Back
Top Bottom