Umeshawahi kufikiria siku Mpesa, tigo pesa na zap pesa ziki collapse gafla itakuwaje??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeshawahi kufikiria siku Mpesa, tigo pesa na zap pesa ziki collapse gafla itakuwaje???

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Sharp lady, Aug 30, 2011.

 1. S

  Sharp lady Senior Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni kwa muda mrefu sasa mitandao yetu ya simu imekuwa ikijishughulisha na huduma za kibenki na imefanikiwa kurahisisha sana huduma ya utumaji, upokeaji wa fedha pamoja na kulipia garama mbali mbali zikiwemo LUKU,DSTV n.k.
  Lakini sasa swali linakuja je mara gafla huduma hizi zikapotea kama ilivyopotea DESI na mamilioni ya fedha za watu itakuwaje??? Ikumbukwe kwamba kuna watu wengi wamegeuza kama sehemu za kuifadhia fedha zao na bila kusahau DESI siyo ya kwanza kuambaa na hela za watu bila kupatiwa majibu sahihi yategemewayo. Naomba kuwasilisha.
   
 2. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,887
  Likes Received: 6,070
  Trophy Points: 280
  any thing good must be accompanied with risks!!
   
 3. Big One

  Big One JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 759
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  kwel watu tutakujalia sana kama yakijatokea mauzauza watu naona watachanganyikiwa cha msingi pesa yko peleka bank
   
 4. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  basically zile huduma ni kwa ajili ya kutuma pesa na kufanya malipo kadhaa...wenyewe hawapendi mtu atunze pesa zake na ndio maana ukiweka pesa then ukataka kuchukua mwenyewe wanachaji gharama kubwa sana tofauti na pale ambapo kiwango kilekile unapotuma kwa mtu mwingine. Sasa hoa wanaogeuza kama ni sehemu ya kutunza pesa kitakacho wakuta shaur yao.
   
 5. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  ni kweli watu wengi hawajaelewa lengo la huduma hiyo. Nilishangaa kuna mtu alienda kutoa pesa bank akapeleka kwa wakala m pesa akahifadhi huko.
   
 6. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,392
  Likes Received: 12,671
  Trophy Points: 280
  mmmh mi ndo sijui niseme nini
  coz nipo pale fully juu ya bank zetu
  mimi nipo exim nikenda kuchukua hela utasikia
  nenda kule ulikofungulia acc
  mimi nimefungulia pale mnaz mmja
  naisj=hi tbt kaz ubungo
  kuna branch yao hap urafiki kadi yangu ilipotea
  sasa nikitaka hela eti nenda mnazmmoja
  nakasirikaga hapa niko mbioni kuihama bank hii
  af hasira zaid mwisho wa mwezi network huwa hakuna kabisa
  sasa m pesa amekuwa mkombozi wangu japo nakatwa pesa nyingi lakini
  usumbufu ni nafuu kuliko kwenye mabenki yetu ya kijinga haya hela zetu
  halafu zinatuhangaisha wenyewe
   
 7. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,964
  Likes Received: 722
  Trophy Points: 280
  Wanasaidia sana,sijui sheria za fedha zinasemaje.
   
 8. S

  Sharp lady Senior Member

  #8
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 23, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwakweli wana save sana ukizingatia zinaoperate muda wowote na mahali popote ila sasa je sheria za bank zinatoa ulinzi wakutosha?
   
 9. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2011
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hata Mabenk system inaweza kugoma. In short system ya Mpesa.tigo pesa na system za mabenk ni zile zile ndio maana tunaona Nmb mobile ,pesa fasta,sim banking,point ni je mteja wa mpesa analindwa na sheria ipi? sheria za kibenk,je Bot wanakagua huduma hizi kwenye haya makampuni? kuona kama yana sufficient reserve,je huduma hiyo imesajiliwa Bot? wajinga ndio waliwao.
   
Loading...