Umeshawahi jiuliza kama ninalojiuliza?

bomouwa

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
1,149
797
Habari wana jamvi?
Mie ni mdau wa jf mnoo,kuna jambo nimelinote kuhusu huu mtandao ukilinganisha na other social networks like whatsapp,Imo,viber etc;

Unahisi wewe tangu uweke Avatar yako ni lini au mara ngapi au inachukua duration kiasi gabi mpaka ubadili tofauti na za whatsapp au imo au viber n.k?

Ama unahisi kwanini huoni umuhimu wa kubadili avatar ya jf kila mara kama unavofanya mitandao mengineyo?

Nawasilisha
 
Jf hakuna wauza sura.

Watu na digrii zao unadhani watakuwa na muda wa kubadilibadili profile picture?
 
Kwani nliyoiweka ina tatizo gani hadi niibadili? Swali hili likipata jibu huenda watu wakawa wanabadili mara kwa mara
 
Jf hakuna wauza sura.

Watu na digrii zao unadhani watakuwa na muda wa kubadilibadili profile picture?
Kuna mahusiano gani kati ya kua academician with dp?
Learn to analyse facts.
 
Mi nadhani DP ya JF ni moja kati ya utambulisho wa mtu cuz hatujuani, hivyo DP ni sawa na jina, yani inakuwa rahisi kwa mtu kukujua kwa kuangalia DP tu, manake wengine tunatumia majina maguumu kama mizizi hivyo mtu anaweza asikukumbuke kwa Jina lakini akakukumbuka kwa DP yako tu...
 
Back
Top Bottom