Umeshatembea na wanaume/wanawake wangapi mwaka huu 2010? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeshatembea na wanaume/wanawake wangapi mwaka huu 2010?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Supervisor, Dec 29, 2010.

 1. Supervisor

  Supervisor JF-Expert Member

  #1
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 553
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Hesabu kuanzia january 2010 mpaka december 2010 umetembea na viburudisho vingapi? na viburudisho nao je? Wametembea na (Me)....note kutembea mean doing s.x

  Ni hayo 2..
   
 2. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #2
  Dec 29, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kwa siku mara 3 kwa wanaume watatu kla game na mchezaji wak
  so kwa mwaka itakuwa wangap?
  pga hesabu.nawasilisha
   
 3. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #3
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  viburudisho 363!
   
 4. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #4
  Dec 29, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mmh jaman we mbona mvivu ivo?
   
 5. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #5
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Kwanini wasema mie mvivu??
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Dec 29, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Vitu vingine bwana......sasa Unataka ujue ili iweje???
   
 7. zaratustra

  zaratustra JF-Expert Member

  #7
  Dec 29, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 851
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 45
  Anachangamsha baraza, maana watu wamechanganyikiwa kutokana na HUKUMU ya MH. Chenge aka Mzee wa vijisenti!!
   
 8. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #8
  Dec 29, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Mimi nina ngozi kama sita hivi na kila moja kwa mwaka mzima nazigonga angalau mara 20 so piga mahesabu nimecheza game ngapi!
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Dec 29, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mi kazidi kunichanganya tu!!!:redfaces:
   
 10. bigcell

  bigcell JF-Expert Member

  #10
  Dec 29, 2010
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 212
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45

  4 Kutwa mara 3 kwa siku 365.5, yani changanya na wa pale kona bar hakuna aliyerudiwa na wife kichapo ni palex2,na hapo kondom bora nawahakikishia ni dume haijawahi pasuka hata siku 1.
   
 11. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  idadi finyu.
   
 12. Maalim Jumar

  Maalim Jumar JF-Expert Member

  #12
  Dec 31, 2010
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 1,443
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hii thred kama inahusu watu maalum kwa kazi maalum tena katika sehem maalum.
  Kama unae mke wako au mume wako hili litakuepo kweli?
   
Loading...