Umeshajiuliza mwaka 2017 utakuaje ukilinganisha na mwaka 2015

optimista

Member
Oct 24, 2016
36
17
Naam wana jamvi nachukua fulsa ya kuwatakia hel ya mwaka mpya 2017 kwa wote watakao baahatika kuuona.

Kwa kuwa tunamaliza mwaka 2016 na tumeona mengi sana yametokea kwa kupitia serekal yetu kuna mazur mengi na pia yapo mabaya

Hakika kwa mawazo yangu ya haraka wanajamvi nawaza na kutafakar katika mtazamo chanya (OPTIMISTA) kwamba serekal katika mwaka ujao itafanya nn:-

1. Serekali Kuendelea kukusanya kodi sana ili kupata mapato kwa kuwa tumeingia kwenye milad mikubwa ikiwa pamoja na kununua ndege kubwa, ujenzi wa reli ya kat, utaniz wa barabara pamoja na miundombinu yake, ununuzi wa mel kubwa mbili katika ziwa victoria na tanganyika na kuchangia ujenzi wa bomba la mafuta.

2. Nahisi kutakuwepo na njaa katika mikoa michache kwa kuwa mwaka huu mvua ni ndogo hivyo wakulima hawatapata mavuno mazur kama zaman.

3. Nahis kuwapo wadau watakaoendelea kupinga juhud za mweshimiwa rahisi kwa kuwa asilimia kubwa hawajui raisi anataka nn kiwe katika uongozi wake.

4. Kudorola kwa uchum nchin kwa kuwa unasababishwa ba mambo yafuatayo:- viawanda vingi vimefungwa au kupunguza uzalishaji, watu wengi wameachishwa kazi au kupunguzwa kwenye maofisi ya private na sasa masoko makubwa yanayo zungusha uchum wetu yamaeshuka uwezo. Mfanao soko la hisa limepungua tofaut na zaman.

5. Nahis mweshimiwa raisi ataongeza mishahara kwa wafanyakaz katika mwaka serekal hivyo watumish wakae mkao wa kula.
7. Nahisi serekal itapitia sheria ya madin ili tuweze nufaika na madin yetu
8. Najua ziez la kutumbua litaendelea kwa kuwa kwenye msafara wa mamba kenge hawakosi. Hapa namanisha kwa wale wasifuata sheria watapewa adhab.
9. Nahisi yawezekana vyombo vya habar na wanahabar wakapewa adhab kali kama hawatafuata vizur sheria mpya ya vyombo vya habar.
10. Nahisi serekal itafungua milango ya nafasi ya kaz hivyo wadau mkae mkao wa kupambana na usahili.

Haya ni mawazo yangu machache kati ya mengi mliokuwa nayo wajumbe. Naombeni nanyi mtoe ili mwisho wa mwaka wa 2017 tupime yale mawazo mazur tuliotabil yatafanikiwa? Na kama hayakufanikiwa tushaul kwan nchi ni yetu sote. Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom