Umeshaelimisha watu wangapi juu ya umuhimu wa kupiga kura na kuichagua CHADEMA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeshaelimisha watu wangapi juu ya umuhimu wa kupiga kura na kuichagua CHADEMA?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Baba Matatizo, Oct 21, 2011.

  1. B

    Baba Matatizo JF-Expert Member

    #1
    Oct 21, 2011
    Joined: May 5, 2011
    Messages: 335
    Likes Received: 6
    Trophy Points: 35
    Jamani wadau binafsi nina watu 20, na wazee wakiwemo ambao wamekubali kusaidia kuitoa CCM madarakani kwa kuinyima kura zao 2015.JE WEWE UMEWAELIMISHA WANGAPI JUU YA UMUHIMU WA KUPIGA KURA NA KUICHAGUA CHADEMA?weka idadi tufanye tathmini.
     
  2. Roulette

    Roulette JF-Expert Member

    #2
    Oct 21, 2011
    Joined: Dec 15, 2010
    Messages: 5,618
    Likes Received: 10
    Trophy Points: 0
    hahahahahahahaha. Nikisema 100 je?
     
  3. Kaunga

    Kaunga JF-Expert Member

    #3
    Oct 21, 2011
    Joined: Nov 28, 2010
    Messages: 12,581
    Likes Received: 742
    Trophy Points: 280
    17 nimehakikisha wamechukua na kadi kbs
     
  4. NEW NOEL

    NEW NOEL JF-Expert Member

    #4
    Oct 21, 2011
    Joined: May 21, 2011
    Messages: 816
    Likes Received: 82
    Trophy Points: 45
    1. Unafikiri ni bora tukachagua chama au tukachagua mtu?
    2.Je unadhani kila mtu anayetokea Chadema anafaa kuwa kiongozi? Au unadhani kila mtu anayetokea CCM au CUF,au NCCR au TLP hafai kuwa kiongozi?
     
  5. t

    tizo1 JF-Expert Member

    #5
    Oct 21, 2011
    Joined: Mar 9, 2011
    Messages: 856
    Likes Received: 44
    Trophy Points: 45
    Mimi ninao 18.kila mjinga akikutana na mimi hapo hapo nampa elimu.Nashukuru mpaka vijijini ninapoenda nawaelimisha juu ya kuipiga chini CCM
     
  6. MNAMBOWA

    MNAMBOWA JF-Expert Member

    #6
    Oct 21, 2011
    Joined: Oct 17, 2011
    Messages: 1,964
    Likes Received: 54
    Trophy Points: 145
    wote wanaoandamana andama dhidi ya ccm,, nimewajuza lakini wananipa swali huo mziki wa kuandama mtaukomesha hata pindi ccm itakapokuwa haipo madarakani? Siyo lazima chadema iwepo madarakani na kinaweza kuwepo chama chochote mbali na cdm au ccm. . Nipeni majibu kwanza nione fokasi yenu.
     
  7. N

    NIMEKIMBIA CCM Senior Member

    #7
    Oct 21, 2011
    Joined: Oct 4, 2011
    Messages: 193
    Likes Received: 1
    Trophy Points: 0
    Kama 200 na zaid kwa nilianza na form six wote wa st antony na nkainga mtahan kisha nlipata tempo kufundisha nikawashi na wanafunz wangu pia
     
Loading...