Umesha wai Safiri namna hii kwenye Ndege? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umesha wai Safiri namna hii kwenye Ndege?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MaxShimba, Jun 17, 2012.

 1. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2012
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #2
  Jun 17, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  hamna kitu mzee
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  Jun 17, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Huko inaonekana ni Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zinakoanguka ndege kila wiki.
   
 4. Ansah Miles

  Ansah Miles JF-Expert Member

  #4
  Jun 17, 2012
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Kama so Kongo Ni nigeria
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaa itakuwa ni kule kwa bakongo na hii ni kutok bukavu mpaka mbuyi mayi
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hii itakuwa ndege ya bukoba, lazma!lol
   
 7. Ngomo

  Ngomo Senior Member

  #7
  Jun 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 199
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  hiii ni kongo kabisa yaani utadhani sio ndege
   
 8. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #8
  Jun 17, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Hiyo ni atcl.
   
 9. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #9
  Jun 17, 2012
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  hili dege la jashi asee, watakuwa wana-evacuate watu!!
   
 10. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #10
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hii itakuwa kongo. Inanikumbusha ile ajali ya ndege ya mwaka jana au juzi iliyosababishwa na mamba aliyekuwa akisafirishwa kwenye ndege usafiri wa watu. Mamba sijui alitokajs kwenye kasha lake akajichanganya na wasafiri ikawapatashika mpaka ndege ikaanguka. Loh!
   
 11. Borro

  Borro Member

  #11
  Jun 17, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 97
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  Mzee ''mbuzi mzee'' pasipo shaka ni moja ya ndege zinazofanya safari zake DRC, mitaa ya Entebbe-Bunia-Beni, Bunia-Goma-Kisangani, Bukavu-kisangani-Kinshasa. kwa kifupi usafiri wa anga DRC ni hatari zaidi ya unavyoweza kufikiria. kwanza karibu ndege zote zinazofanya safari ndani ya DRC zimechoka hujapata kuona na zinapakia mzigo hakuna kipimo, korido yote huwa imejaa mizigo na mabegi na kama inavyoonekana hapo kwenye picha yako mabegi yanakua juu ya seats, yaan kwa kifupi mzee ni mawazo mno usafiri wa ndege DRC, lakin hakuna jinsi inabidi upande tu hizo ndege zao, maana hakuna barabara DRC kabisa Congo, na kama ni umasikini wa watu DRC imevuka viwango zaidi ya kawaida.
   
 12. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #12
  Jun 17, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  Hii kali.
   
 13. cement

  cement JF-Expert Member

  #13
  Jun 17, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 583
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ahahaaaaaaaa mwaka juzi abiria alipanda na mamba kwenye begi,alipochana begi akatoka ilikuwa kasheshe na bonge la ajali!!!!!!!!
   
 14. kijembeee

  kijembeee JF-Expert Member

  #14
  Jun 17, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 411
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  wengi wape,i think it is DRC
   
 15. PJ

  PJ JF-Expert Member

  #15
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 297
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Huku kwetu Congo mbona tunasafiri na mbuzi, kuku ,bata n.k kwenye hizi antonovu zetu.

  Halafu wamechomea mabomba kwa juu ya kushika kwa abiria wanaosimama.

  Huku kwetu usafiri wa ndege ni kama daladala.
   
Loading...