Umesha wahi kufikiria...Labda M-pesa ya inaweza kutumika kutoa na kupokea rushwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umesha wahi kufikiria...Labda M-pesa ya inaweza kutumika kutoa na kupokea rushwa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Domenia, Jun 10, 2009.

 1. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #1
  Jun 10, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  [​IMG]


  Nina pongesa sana kampuni za simu Tanzania kwa kua wabubufu na kubuni mambo yanayo wiana na mazingira yetu!!
  mafano M.Pesa ya vodacom..Tigo na utamulisho wa extreme na mambo mengine mengi yalio fanywa na Zain hata Zantel vile vile...
  Lakini Ulisha wahi kufikiria hata Mpesa ina weza kutumiwa wakati wa Kutoa na Kupea Rushwa!!?   
 2. Offish

  Offish Senior Member

  #2
  Jun 10, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 172
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Yawezekana, tuombe Mungu TICRA wakamilishe zoezi la usajiri wa namba za simu mapema iwezekanavyo...
   
 3. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #3
  Jun 10, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  M-PESA huwa wanasajili wateja wao baada ya kuonyesha vitambulisho vyao. Kwa hiyo inawezekana kum-trace mtu aliyetoa au aliyepokea hongo. Ugumu wa kupiga vita rushwa upo kwenye fact kwamba wote mpokeaji na mtoaji wanakuwa wamekubaliana. Ikitokea mmoja hajaridhika ndipo crime chain inapoweza kukatika. Otherwise, it is simply difficulty.
   
 4. J

  Joyceline JF-Expert Member

  #4
  Jun 11, 2009
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 1,010
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ni sawa lakini kuna wale wateja ambao hawajasajiliwa, anatumiwa pesa tu anaonyesha kitambulisho anapewa, hata kitambulihso hakitolewi copy , hapo kutakuwa na ushahidi gani,
  Halafu hilo zoezi la kusajili namba ni zoezi gumu sana kwa tanzania kwa sasa watapoteza biashara, wana vijana wengi sana wamewaajiri wauze sim card, kwa ajili ya ushindani na kutafuta wateja, huoni watu wataepuka kusajili namab nyingi, maana unakuta mtu 1 ana sim card tatu na zote anazitumia hawezi kuzisajili zote. kwa hiyo watapoteza wateja.
   
 5. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #5
  Jun 11, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Kama mtu hatasajili sim card yake ni kwamba itakuwa blocked ifikapo Desemba mwaka huu. Kuna njia nyingi za kumfuatilia mtu. Voda wenyewe wanaweza kutumika kuwa-trace wahusika wote wawili endapo mmoja hajasajiliwa. Hili la kupoteza wateja halitakuwepo kwa kuwa inaruhusiwa kusajili line zaidi ya moja. Zoezi la kusajili sim card likikamilika litatatua matatizo mengi ya uhalifu, hata ule wa kutoka nje ya ndoa!
   
 6. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #6
  Jun 11, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Basi kwa kifupi sasa hata polisi wana punguziwa vocha alafu inatumwa kwa dada yake...Rushwa ya kigoma ina pokelewa Dar!!
   
 7. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #7
  Jun 11, 2009
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Usajili ukikamilika hata kama ukipeleka kigoma toka dar. Kinachomatter ni kuwa traceable. Kwani akina mzee wa vijisenti si walipeleka vijisenti vyake nje ya nchi, mbali sana na upeo wa macho yako lakini aliweza kugundulika. Kumbuka kuwa M-PESA ni mfumo wa kibenki kama zilivyo systems zingine. So, geographical location doesnt matter really. What matters is who did what and for what intention. Usiniulize utajuaje intention-its a matter of investigation. Every case stands on its factual situation. Evidence determines whether the case should stand or fall.
   
 8. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #8
  Jun 13, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sina tatizo sasa TAKUKURU washirikiane na voda
   
 9. Madela Wa- Madilu

  Madela Wa- Madilu JF-Expert Member

  #9
  Jun 13, 2009
  Joined: Mar 24, 2007
  Messages: 3,074
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Mod,
  Hii AVATA ya Domenia iondolewe kwa sababu inadharirisha kwa kila namna.
   
 10. Domenia

  Domenia JF-Expert Member

  #10
  Aug 2, 2014
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 462
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Rishwa ni nini?
   
Loading...