"Umepata wapi namba yangu?" Inaboa kwakweli

Akawaambia nini Vodacom??😂😂😂
aliwaambiwa "mbona mimi sipati bundle la bure kama wenzangu.. wenyewe tangu usiku wamepata gb nyingi ila mimi sijapata" akawatajia na namna ya kujiunga nakumbuka ilikua unaenda kwenye menyu yao ya vifurushi vya pinduapindua hata kama hauna salio unajiunga unapata hicho kifurushi... uyo jamaa mmoja alisababisha mamia ya waliopeana ujanja huo siku hiyo wanyang'wanywe vifurushi vyao huyo huyoo pia akasababisha kufukuzwa kazi msimamizi wa zamu ya huduma ya vifurushi vodacom.. kwa kweli wanakera sana watu hawa mbinu nyingine tunabidi tufe nazo kimyakimya tu..

Ni kama pia ile offer ya bure vodacom wanakupa gb 10 kila mwezi kwa miezi 6 mpuuzi mmoja akawapa mchongo voda kisa yeye alikataliwa kuungiwa bure.. yaani mtu wa namna hii anaweza kukuchomaa kabisa kuwa ulimpa namba
 
Ukiacha mambo ya namba za simu, kuna wadada wana hali ya kuringa nakujiona wapo katika level flani za kufikirika. Yani unakuta sura ya babake mkubwa, shape ya kaka yake, kipato na elimu ya kawaida sana , unabaki unajiuliza hii nguvu anaitoa wapi. Mwanamke sio lazima awe mrahisi kwa mwanaume yeyote lakini kuna kitu ustaarabu na hekima .
Kwakweli
Watasikia🚶🚶🚶🚶
 
Hiyo ndy shida, watu wasio waaminifu au sijuwi MIDOMO ZEGE NDY WALIOHARIBU PIN CODE ZA WRONG NUMBER,,,, lakini ILIKUWA ubwete kabisa..NIKIPIGA wrong number sikuwahi kumkosa DEMU.....NAKUMBUKA siku moja nipo south Africa,,,kuna demu mmoja hapa BONGO ,,,alikula pesa za jamaa yangu Fulani,,,nyingi tu,,MTOTO ALIKUWA MKALI SANA,,,lakini kutoa PAPUCHI HATAKI,,,KAMSUMBUWA SANA JAMAA,,ikabidi yule RAFIKI YANGU akanikabidhi jukumu la KUMGEGEDA YULE DEMU MSUMBUFU,,,ili at least APOZE MACHUNGU,,,,.jamaa alinipa namba za yule demu,,,,nikaruka hewani nikiwa south Africa,,,nikiwa pale nikabadili call nikaweka PRIVATE MODE..basi ikawa yule demu akapokea simu IKIONYESHA PRIVATE NUMBER,,,,,,alikuwa mtoto MKALI sana,,hata sauti yake ilijitosheleza kuamini hivyo..nakumbuka ILIKUWA 2014 ,,,nilipiga simu mbele ya yule jamaa yangu wote tukiwa south Africa,,,, basi nikaanza maongezi ,,,HELLO,,, mambo vipi?mbona nimetuma pesa western union za VIGAE NA ZA ADA YAKO YA CHUO MBONA FUNDI ANASEMA HAJAPATA PESA...KWANI PESA HUJACHUKUWA? ni siku ya 3 sasa,,,na CODE NISHAKUPA TATIZO NN?basi Yule demu akaanza kuuliza ,,,wewe nani?nikajitambulisha nikamwambiya nipo GREECE MELINI, , WEWE SIO FATUMA?akasema sio mimi SALAMA,,,wa wapi?akanambiya MAGOMENI,,,nikamwambiya ,,sorry itakuwa nimekosea namba,,BASI NAOMBA NISAVE NAMBA ZAKO,,,NISIKOSEE TENA,,,baada ya siku tatu nikapiga tena nikamwambiya kesho nasafri NARUDI south,, nilikuwa nakuaga mrembo,,,akasema nataka Zawadi ya simu,,,,,nikamwambiya pale SOUTH NDY pana simu nzr sana,,akaagiza SAMSUNG,,,basi nikamwambiya nikifika nakupigia kwa namba zngu za MKONONI za south,,,Hii simu ya ofisi....basi baada ya week moja nikampigia kwa +277 namba za south,, tukaanza kuchat sasa,,, nikamwambiya baada ya week 2 NARUDI bongo hapo anifate airport.. Kweli baada ya week mbili nikaingia hapo KIPAWA ,,,yule jamaa yangu alitangulia kurudi week kabla yangu,,,nikiposhuka,,kuna gari ilinifata,,,DUDE MOJA black,, left hand land rover ,,,,mimi pamoja na yule mtoto,,moja kwa moja hadi magomeni,,, nikampaki sehem ,NIKAMWAMBIYA KUNA JAMAA NAPASWA NIMPE MIZIGO YAKE,,KUNA PESA ATANIPA,,ILIKUWA MBINU ya kujichelewesha pale,,,,,nikamtext jamaa njoo uthibitishe,,jamaa akapita akasalimia pale,,,LAKINI kama hatujuani,,,yule demu akaanza kumponda jamaa,,mambo kibao,,Mimi nikafanya kama nalia wivu,,,DEMU AKANAMBIYA BORA TUONDOKE,,,nikaondoka nae hadi TORA BORA,,,MAKAO MAKUU ya OSAMA BIN LADEN..,nilikesha nae siku mbili,,, mtoto alinielewa sn ,,, lile wazo la KUGEGEDA NIMUACHE SIKUWA NALO TENA,,, JAMAA YANGU nikawa nampa updates,,,ya KINACHOFANYIKA PALE KWANGU,,,,baada ya siku 2 yule demu nikamrudisha kwao,,, ,,TUKAWA tunawasiliana sana tu,,,, week baadae Yule DEMU ananipigia simu,,,,kumbe Yule jamaa yangu niliyekuwa nae south,,,na ndy yule aliyenipa namba za yule DEMU,,,, uvumilivu ulimshinda ikabidi amwambiye yule DEMU ukweli,,kwamba Mimi sikuwa GREECE,,na ni jamaa yake ,alifanya vile ili DEMU NIMGEGEDE,,,..basi yule demu ilimuuma SNA,,,maana alikuwa na mipango serious na.mm tuishi wote. Na mm nimimpenda hatari,,alikuwa Bonge la demu...JAMAA AKAHARIBU KILA KITU,,,JAMAA NILIMNUNIA MWISHOWE TUKAONGEA...,,,hayo ndy mambo ya wrong number enzi zake,,, sasa hakuna tena,,pin code zote washazifunguwa MIDOMO ZEGE...

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee
Kaka WA magomeni usalama
Asante Kwa mrejesho😂😂😂😂
 
aliwaambiwa "mbona mimi sipati bundle la bure kama wenzangu.. wenyewe tangu usiku wamepata gb nyingi ila mimi sijapata" akawatajia na namna ya kujiunga nakumbuka ilikua unaenda kwenye menyu yao ya vifurushi vya pinduapindua hata kama hauna salio unajiunga unapata hicho kifurushi... uyo jamaa mmoja alisababisha mamia ya waliopeana ujanja huo siku hiyo wanyang'wanywe vifurushi vyao huyo huyoo pia akasababisha kufukuzwa kazi msimamizi wa zamu ya huduma ya vifurushi vodacom.. kwa kweli wanakera sana watu hawa mbinu nyingine tunabidi tufe nazo kimyakimya tu..

Ni kama pia ile offer ya bure vodacom wanakupa gb 10 kila mwezi kwa miezi 6 mpuuzi mmoja akawapa mchongo voda kisa yeye alikataliwa kuungiwa bure.. yaani mtu wa namna hii anaweza kukuchomaa kabisa kuwa ulimpa namba
😂😂😂😂😂 Uuuwi hao wanaitwaga Black Monday😂😂😂
 
Yani wewe ungekuwepo Enzi za ujana wangu serikali ingekupeleka YMCA ukapate professional help maana njia zako zooote unasimulia mimi nishazifanya na zaidi ya hizo
Naona unatapatapa Tu hapa
Hata KUKU siku mwenzie akichukuliwa na KICHECHE anaona mwenzie hakuwa makini...LAKINI siku yake ikifika hana ujanja...hivyo mkuu Nina njia 1000 za uongo..HIZO ni chache tu...sisiweki hapa,,,,,zote ni PIN CODE..wewe nimekueleza hizo,,, ila hata wewe ungeng'oka tena kweupeee...

Wanawake Kwa siku tunaongeza maneno zaidi ya elfu 1 ina maana tunawaza na tunakuwa na mbinu zaidi ya elfu 1 Kwa siku
Kwangu usisogee kabisa utaumia🚶🚶
 
Back
Top Bottom