sky walker
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 1,160
- 824
SEMA ULICHO KIONA
Kweli kabisa.Ndio maana huwa nazigeuza Picha kua kazi ya ki philosophy!!
Sio demu anakutumia picha yupo uchi katka kitanda kisicho chake alafu unamwambia " Baby una umbo zuri"
Si umezungushia kikondomu pale, hapo gem lishaisha mtu anatumiwa bebi ndo natoka nlikuja kumwona rafiki angu mgonjwaSEMA ULICHO KIONA
Hapo utakuta kisha ambukizwa AIDS tayari!!
Maana condom sio protection 100%
Mbona umeshtuka hivi, ulikuwa unaziamini 200%Really? hebu fafanua please
Mbona umeshtuka hivi, ulikuwa unaziamini 200%
Basi haziaminiki mkuu, zinazuia 60% tu1000% Mkuu
Basi haziaminiki mkuu, zinazuia 60% tu
Utaletewa , kuwa na subranaweza pata any source nikarifae?
unitagi ukiupataUtaletewa , kuwa na subra
Okunitagi ukiupata