Umeona nini katika hii picha toa jibu

Duh!! Yaani kwa kadiri unavyoangalia picha hizi ndivyo muda unavyozidi kwenda.
 
Ebwana ni tarehe ya leo saa ina majira kamili na seconds zinatics, haya ndo maajabu ya software men, natamani niisave vipi sijui
 
Hii lazima uwe na mazoezi, au jamaa unataka kusema kuna maana nyingine zaidi ya hii intepretation
 
naona mimi hizi picha zinaonyesha muda kwa mfano kwa sasa ni saa 03:04 plus seconds kadhaa
 
Duh!! Yaani kwa kadiri unavyoangalia picha hizi ndivyo muda unavyozidi kwenda.

add kwenye favourites

Ebwana ni tarehe ya leo saa ina majira kamili na seconds zinatics, haya ndo maajabu ya software men, natamani niisave vipi sijui

baada ya hapo mbona mie sizielewi ??? 1,2 ,3 ............10 Q and

Hii lazima uwe na mazoezi, au jamaa unataka kusema kuna maana nyingine zaidi ya hii intepretation

naona mimi hizi picha zinaonyesha muda kwa mfano kwa sasa ni saa 03:04 plus seconds kadhaa

thanks mie nilikuwa mbali kisaikolojia teh teh teh

bibie nlishakupa jibu juu kabisa nalo hukuelewa pia jamani? waniangushaa weeewe na kisura chako kizuri, nadhani upo kama avatar hiyo

kwa kadiri unavyoangalia picha hizi ndivyo muda unavyozidi kwenda Huyu aliyesema haya maneno namuunga mkono kama anao mkono namuongeza wa mkono wa pili nina maana ya hizo picha kwa kadiri unavyoangalia hizo picha na muda wako unazidi kupotea (Time is Money) Usipoteze muda kuangalia vitu vya upuuzi poteza muda wako kwa mambo ya maana asanteni sana ndugu wana JF
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom