umeokota diary/notrbook ya mtu aliefanikiwa je,page zipi unahisi ztakuwa na siri za mafanikio yake?

Lukaku Tanzania

JF-Expert Member
Sep 7, 2017
843
742
Good morning Billionaires!!
Leo Kama ntakupa au utapata notebook yangu au ya Bill Gates au ya Michael Dell au Dr mengi yenye page 90 tu iliyo gawanyika Kama ifuatavyo
Page 30 za awali.
Page 30 za katikati.
Page 30 za mwishoni.
Kumbka notebook hii Ina siri za mafanikio na ktk hzo page kuna pahali vitu muhim niliandika
Swali langu je,utachagua kuangalia page zipi? Kwa nn umechagua hizo? (Mindset)

Naomba utoe na ufafanuzi kwa nn utapenda page flani...

Mfano;
30 pages za mwisho kwangu ndio ntachagua maana naamini watu wengi huficha siri mwishoni na tips nyingi huwekwa huko je,wewe ungechagua kusoma page zipi?
 
Back
Top Bottom