Umeoa Msukuma?

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,720
Hey wanandugu,

Kuna kitu gani special na wanawake/wadada wa Kisukuma kulinganisha na wa makabila mengine?

Nawasikia vijana wengi wanapanga kuoa huko, na wengine wanasikitika kuwa lau wangejua wangeoa binti wa Kisukuma!

Pia kuna mdada mwanaJF mwenzetu nilikuwa naongea nae kwa simu, akanambia..."PJ ungebahatika kuoa msichana wa Kisukuma, basi ungekuwa na afya njema kuliko ulivyo sasa...", japo hatujawahi kukutana na mdada huyu ili ajue currently nina afya inayofananaje!

Binafsi sijabahatika kufika usukumani, lakini pia sijapata kuwa na ukaribu na mwanadada wa kabila hili...!

Je watu hawa wana nini cha ziada, nijulisheni kwa faida ya wadogo zangu na waoaji wengine!
 
Kwanza ni wazuri kwelikweli. Wana maadili mema. Wanatambua nini maana ya ndoa na wanajua ku play roles zao. Sio wambea. Wanajua kupika. Wana akili. Hawana makuu. Ni wasafi kwelikweli. Sio walevi. Ni wavumilivu. Wana mapenzi ya kweli. Sasa kwa nini watu wasitake kuoa wanawake wa Kisukuma?
 
PakaJimmy,

Wanawake wa kisukuma
- ni wenye kuheshimu sana waume zao na wanaume kwa ujumla
- ni wachapa kazi sana
- ni wakarimu sana
- ni watiifu
- ni wenye ujuzi na mambo ya kujenga familia (wamefundwa)
- ni wazuri kimaumbile
- ni wajuzi wa kumridhisha mwanamume katika kila hali

Duh tabu Duh shida!
 
:confused:
Hey wanandugu,

Kuna kitu gani special na wanawake/wadada wa Kisukuma kulinganisha na wa makabila mengine?

Nawasikia vijana wengi wanapanga kuoa huko, na wengine wanasikitika kuwa lau wangejua wangeoa binti wa Kisukuma!

Pia kuna mdada mwanaJF mwenzetu nilikuwa naongea nae kwa simu, akanambia ningebahatika kuoa msichana wa Kisukuma, basi ningekuwa na afya njema kuliko nilivyo sasa, japo hatujawahi kukutana na mdada huyu ili ajue currently nina afya inayofananaje!

Naona kama umekosea kuna sehemu umesema mdada uliongea nae kwa simu halafu huyu mdada anataka kuoa mhh:rolleyes:
 
na huo mwili ulionao:
huyo mdada lazima ni msukuma(ANAJIPIGIA CHAPUO):D
 
:confused:

Naona kama umekosea kuna sehemu umesema mdada uliongea nae kwa simu halafu huyu mdada anataka kuoa mhh:rolleyes:

Noop MARIA ROZA,...HUJANIPATA!
HUYO MDADA alikuwa ananiambia mimi PJ kuwa ningebahatika kupata Mwanadada wa maeneo hayo!:D
 
PakaJimmy,

Wanawake wa kisukuma
- ni wenye kuheshimu sana waume zao na wanaume kwa ujumla
- ni wachapa kazi sana
- ni wakarimu sana
- ni watiifu
- ni wenye ujuzi na mambo ya kujenga familia (wamefundwa)
- ni wazuri kimaumbile
- ni wajuzi wa kumridhisha mwanamume katika kila hali

Duh tabu Duh shida!

This is too general, sio wote, najua wapo ila sio mademu wote wa kisukuma. Nishabahatika kumuona mmoja ambaye yeye alikuwa anamdunda sana mumewe, by then nilikuwa kijana mdogo alikuwa anaogopwa mtaa mzima.
 
Kwanza ni wazuri kwelikweli. Wana maadili mema. Wanatambua nini maana ya ndoa na wanajua ku play roles zao. Sio wambea. Wanajua kupika. Wana akili. Hawana makuu. Ni wasafi kwelikweli. Sio walevi. Ni wavumilivu. Wana mapenzi ya kweli. Sasa kwa nini watu wasitake kuoa wanawake wa Kisukuma?
Huh!
Is it so?
Tuwe fair jamani, tusitetee kisa ni kabila letu!..huh!
 
Mhh naomba kuuliza hivi Teddy Kalonga na Miriam Gerald ni wenyeji wa wapi vile????
 
Kingine wanawake wa Kisukuma sio wabishi wanajua wajibu wao kama mama.
Wanafua kufuli zao na za waume zao si wabishi pale mnapo pangiana majukumu.
 
Huh!
Is it so?
Tuwe fair jamani, tusitetee kisa ni kabila letu!..huh!

Niko fair kabisa. Nioneshe wapi nilipokuwa unfair maana wewe umeleta mada kuhusu wanawake wa Kisukuma na mimi nimechangia kuhusu wao. Hamna mtu anayecheza karata ya ukabila hapa. Umeleta mada na sie tumeanza kuchangia.
 
Kwanza ni wazuri kwelikweli. Wana maadili mema. Wanatambua nini maana ya ndoa na wanajua ku play roles zao. Sio wambea. Wanajua kupika. Wana akili. Hawana makuu. Ni wasafi kwelikweli. Sio walevi. Ni wavumilivu. Wana mapenzi ya kweli. Sasa kwa nini watu wasitake kuoa wanawake wa Kisukuma?

Si wote bwana.
 
Kingine wanawake wa Kisukuma sio wabishi wanajua wajibu wao kama mama.
Wanafua kufuli zao na za waume zao si wabishi pale mnapo pangiana majukumu.
Lol, mzee wa zanzibar unauzoefu. Zenji wapo wasukuma?
 
Umesahau kitu kingine. Ngozi zao ni nyororo pia na wana meno mazuri sana yaliyopangika vizuri

Dah mtoto wa Kisukuma akitabasamu meno yale dah alafu fizi zile yaani balaa.
Wanamiguu mizuri iliyo jaaa na kuumbika vizuri.
Wana nywele nzuri nyeusi tiii alafu ndefu wengi wanao fuga nywele hufuga mpaka zinadondoka mgongoni.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom