umenishangaza sanadada Sarah Carmen

Jospina

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,421
1,387
IPO HIVI.

Wakati wanawake wanalalamika kuwa wapenzi wao hawawafikishi kileleni mara kwa mara. Msichana wa kuitwa Sarah Carmen anasumbuliwa na tatizo la kufika kileleni na kutoa mshindo kila mara anaposikia mlio wa gari ama treni, ama mashine ile ya kukausha nywele saluni.
Kwa siku anafika kileleni hadi mara 200.
Kuna wanawake wanatamani kuwa kama yeye... Lakini yeye anaichukia hali hii... Maana akiwa na mpenzi wake hata kabla hawajaanza tendo, ukisikika muungurumo wa gari ye kashafika kileleni na kumaliza.
Sasa boyfriend atafanya kipi kumridhisha......
Huyo ndiye Sarah Carmen......
 
Hahaaa! Uuuuwiii,najua hata hivi kashafika,hongera zake kwa hisia za karib
 
Angekuwa ni Mwanafunzi pale IFM mbona angekuwa kwa siku anafika zaidi ya mara 10,000
 
Waswahili bwana! mwenzenu anaumwa nyie mnafurahi! kila kitu kikizidi ni tatizo au hamjafundishwa hivo!
 
Back
Top Bottom