Umenifanyia hivyo mume wako!!!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,596
Mbwembwe zote umekuja ukifurahia umepata kazi serikalini,Taasisi za benk,Mashirikaya kimataifa Kwenye makampuni ya uwakili kumbe yote umenisaliti mkewangu umehonga kitu nilichokitolea mahali?????!!!Hapana inauma sana nimepoteza imani nawewe!!!Kumbe mbwembwe mume nimenunua gari yawezekana kibosile ndo kanunua??!!Nimekumbuka wimbo wa feruzi
 
Mahudhui yeye ni copy n pst kutoka magazeti ya leo mimi naonyesha kilio kwa wake zetu!
 
Mbwembwe zote umekuja ukifurahia umepata kazi serikalini,Taasisi za benk,Mashirikaya kimataifa Kwenye makampuni ya uwakili kumbe yote umenisaliti mkewangu umehonga kitu nilichokitolea mahali?????!!!Hapana inauma sana nimepoteza imani nawewe!!!Kumbe mbwembwe mume nimenunua gari yawezekana kibosile ndo kanunua??!!Nimekumbuka wimbo wa feruzi
Liumba ndo kamnunulia, umesahau zile rav4 kibao alizonunuliaga wasichana waliosoma uhasibu, na wengi wao hadi sasaivi wameshaziuza zile rav4 wanunue vyakula na lishe kwaajili ya VVU Ukimwi....majuto ni mjukuu, unaletewa ukimwi hivihivi na kibosile kupitia kwa wife wako anayeomba kazi na kukubali rushwa ya ngono..
 
Wao wanajiuza wataacha kugongwa? Tuambie mke wako mlianza anza vipi mahusiano yenu> kama ulianza kugonga kabla ya ndoa ujue kabla yako watu walikuwa wanamgonga.Ukirudi home muangalie mke wako nguo alizonunua/ulizomnunulia kama hazishawishi yeye kugongwa na midume mingine.
 
copy and paste nacho ni kipaji maana kaedit angalau ningekuwa mimi ningeharibu kabisa
 
KK, haki ya nani umeni bip, sio kila kizuri cha faa kushangiliwa!
 
Kuna field na field ambazo kweli hutokea hivyo na pia mahala napo unapoomba hiyo kazi.
Bado naaply yashanikuta mengi tu na ndicho kinanikosesha kazi mpaka sasa
 
Kibweka mimi nimbantu naiga lugha za watu hivyo kushangaa mara moja,kwa mbantu mwenziyo ika asante nimejifunza kutoka kwako ningeomba uninyoshee hiyo lugha hapo kwenye nyekundu!!
 
Kuna field na field ambazo kweli hutokea hivyo na pia mahala napo unapoomba hiyo kazi.
Bado naaply yashanikuta mengi tu na ndicho kinanikosesha kazi mpaka sasa
Nafirahi kwa kuwa muwazi mimi nimefarijika ila kama bado unatafuta kazi weka prfsnl yako hapa hope mungu atakujalia.
 
Hapana kaka hakuna jipya kwako,point ni ileile kupata kazi kwa ngono...ungechangia tu thread ya jamaa kulikuwa hakuna sababu ya kuanzisha hii yako ambayo generally it is the same thread.
 
usije thubutu hata siku moja Muombe Mungu atakupa tu

Kuna field na field ambazo kweli hutokea hivyo na pia mahala napo unapoomba hiyo kazi.
Bado naaply yashanikuta mengi tu na ndicho kinanikosesha kazi mpaka sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom