bwii
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 1,429
- 2,658
Namfahamu,kwan kuna tatizo mm kumfaham?Yesu? Kuwa serious na jibu lako. Wewe unamjua Yesu.
Namfahamu,kwan kuna tatizo mm kumfaham?Yesu? Kuwa serious na jibu lako. Wewe unamjua Yesu.
Acha kupewa matango na wazungu.. Yesu umjue wewe nani?Namfahamu,kwan kuna tatizo mm kumfaham?
yaan..!!Watu wanakariri sana, sijui Yesu walimuona wapi.
Jesus kwa kigezo kipi ndg?michael jordan
adolf hitler
mahatma gadhi sijui kama nimepatia jina
michael jackson
jesus crist
bob marley
mao
albert einstein
sadam hussein
hicho hicho ulichotumia kuniulizia swaliJesus kwa kigezo kipi ndg?
kwenye mkusanyiko huu wa watu wengi mashughuli duniani umefanikiwa kumtambua nani
= mashuhuri
"Mashughuli" = kuwa na kazi nyingi (busy).
Hashim Rungwe Spunda