Umemsave vipi mpenzi wako kwenye simu yako?

Jolly Beys kwa line ya halotel...
Jolly swt kwa line ya Voda...
Jolly Bebe kwa line ya tigo...


Wako je????
 
Nimefungua aplicatin ya contact.
Nikafungua option ya kuongeza contact.
Nikajaza sehemu ambayo inatakiwa uandike namba ya mobile.
Nikajaza sehemu ya kuandika jina.
Alafu nikaenda ktk kipengele ambacho kimeandikwa Save.nikaibinya.
Ile namba na jina yakawa yamesaviwa ktk simu.
Hivyo ndivyo tunavyosave Namba ya simu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom