Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,889
internet ya bure 24x7 hadi chumbani lakini saa hizi MB50 za voda zinataka kukata sijui kama hii thread ntapost
siku nikichoka au nikiamka na ma hangover sizami class lakini huku chezeya bosi uone
maji bure umeme bure (ukicompare na bei ya hostel) lakini huku ishu lazima uorganize kupata maji, luku misosi dah!
nilikuwa peke yangu wakujicare lakini sasa nimeingia kwenye system ndugu nao wameanza kuniangalia!
chuo hakuna jungu kila mtu na lake lakini job lazima mshirikiane na hapo mifarakano haiepukiki
ngoja nisikilize these are the days of our lives-queen pengine utanifariji.