Habari wana jf. Nikipindi kirefu kamekuwa huku Nkinga wilaya ya Igunga UMEME hawezi kukaa masaa 24 bila kukatika tatizo nini Waziri mhusika tafadhali tumbua haka kachunusi tunalipa huduma hakuna
Badilika tabia nikweli unachoongea mfano Ruangwa walimsema meneja mzigo tatizo sio mameneja Bali kuna matatizo ya msingi sana nachukua frusaa hii kumpongeza Mh Majaliwa k Majaliwa kwa kuwezesha Ruangwa kuwa na umeme mzuri
Mkurugenzi mkuu Wa Tenesco nakuomba sana nafahamu wewe nimfanyakazi Mzuri sana naomba uwakumbuke mameneja wako Wa mawilayani,Leo wanapata matatizo makubwa sana sio kwa uzembe wao ila ni matatizo ya uongozi juu,shirika linakuwa nawafanya Kazi watano na vibarua 15 katika wilaya,unategemea kweli patakuwa na ufanisi hapo kweli!?pia magari lazima mpeleke magari kwenye wilaya zenu,mfano ruangwa gari zima moja ilo ilo ndio emergency, nakuomba na najua wewe mpiganaji sana muda huu majipu yanatumbuliwa sana ila sio vema mameneja wakaonekana wazembe sio zuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.