TANESCO, nisaidieni toka nimelipia niliambiwa nisubiri ndani ya siku 30 nitakuwa nimeunganishiwa lakini mpaka leo sijui tatizo ni nini?
Selina nikolaus
0744919713
Sumbawanga mjini
Eneo Majengo
Rukwa
Fomu yenu inaonyesha.View attachment 1982961
Malipo yako yamepokelewa tarehe 9/09/2021 yapo kwenye orodha ya wateja watakaofungiwa umeme tunaomba uvumilivu wako
 
Ndugu mteja,
Kama tayari umeshafanyiwa survey na zimepita siku 7 ujapata control number tunaomba kupata taarifa zako sahihi ulizotumia kuomba umeme ikiwemo
Jina kamili
Namba ya simu
Eneo lako
Wilaya
Mkoa
@TANESCO nashukuru sana leo nimepata control number na nimeshalipia.

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Tanesco umeme eneo la Chanika Zogoali kwa diwani togolo lini?

Maana imebaki sehemu ya nguzo tatu umeme utufikie ila ndio hakuna kinachoendelea mko kimya kila siku ahadi ambayo haitekelezeki.

Tunaomba kujua lini hizo nguzo zitapatikana maana tumezungukwa na wenye umeme kasoro nyumba chache tu. Je mpaka tununue hizo nguzo au ndio mambo ya rushwa jamani.Kwa kweli tumepoteza matumaini.
 
Tanesco umeme eneo la Chanika Zogoali kwa diwani togolo lini????. Maana imebaki sehemu ya nguzo tatu umeme utufikie ila ndio hakuna kinachoendelea mko kimya kila siku ahadi ambayo haitekelezeki .Tunaomba kujua lini hizo nguzo zitapatikana maana tumezungukwa na wenye umeme kasoro nyumba chache tu. Je mpaka tununue hizo nguzo au ndio mambo ya rushwa jamani.Kwa kweli tumepoteza matumaini.
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tunafurahia kukuhudumia kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii, tafadhali onesha taarifa kamili kwa huduma bora.

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Namba ya taarifa

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja
 
Jina: Jazila Rajabu

Eneo:Chanika Mwisho Zogoali mtaa wa diwani togolo

Wilaya :Ilala

Namba ya simu 0756925031 , 0764888812.

Tatizo: Kuunganishiwa umeme kwa mara ya kwanza. Nguzo hakuna na saveya walikuja toka mwezi wa pili ila mpaka leo hakuna kinachoendelea . Tunahitaji umeme kwa kweli.
 
Tunaomba kujua tatizo ni nini mpaka huo mtaa umezungukwa na umeme ila wenyewe hauna?? Tanesco tunaomba sana miaka inakatika na umeme hauko mbali ila kila siku ni ahadi. Je mpaka tununue hizo nguzo?
 
Tunaomba kujua tatizo ni nini mpaka huo mtaa umezungukwa na umeme ila wenyewe hauna?? Tanesco tunaomba sana miaka inakatika na umeme hauko mbali ila kila siku ni ahadi. Je mpaka tununue hizo nguzo???
Tumepokea taarifa kwa hatua zaidi
 
Jina:eek:bby

Eneo:saku

Wilaya:temeke

Tatizo:umeme huku kila siku unakatika kama kuna mgao mnasema watu tuwe tunajiandaa,unakatika masaa 2 hadi masaa 3 mtakuja kutuunguzia vitu vyetu,halafu kipindi cha marehemu ulikuwa umeme wa uhakika shida ninii wakuu
 
Jina:eek:bby

Eneo:saku

Wilaya:temeke

Tatizo:umeme huku kila siku unakatika kama kuna mgao mnasema watu tuwe tunajiandaa,unakatika masaa 2 hadi masaa 3 mtakuja kutuunguzia vitu vyetu,halafu kipindi cha marehemu ulikuwa umeme wa uhakika shida ninii wakuu
Tafadhali onesha namba ya simu
 
Jina Japhet Edward Hamaro

Eneo Mabwepande Mji mpya

Wilaya Kinondoni

Namba ya simu 0768 590175

Tatizo nimepeleka maombi ofisini ya kuunganishiwa umeme toka tarehe 13/09/2021 mpaka hata surveyor hajaja.

Toka lini September 13

Ahsante sana
Mbona taarifa yangu mpaka leo kimya hamnipi mrejesho
 
Kukatika kila siku shida iko wapi?? Mbona kalemani alimudu mkatiko hukuwepo?? Waziri shida iko wapi?? Umeme ukikatika mapato yanayopotea kwa siku ni hasara kubwa Sana, CAG akitoa ripoti yake juu ya kukatika kwa umeme ndani ya lisaa utahundua ni mabilioni kiasi gn yanapotea, Sasa km ni hujuma Pambana nazo,tunarudi hatua kumi nyuma?? Na watu hawakuelewii
Nawasilisha
 
Baada ya kuapishwa tu akasema hataki kusikia umeme kukatwakatwa. Sasa sijui hajui ya kuwa umeme unakatwakatwa hovyoo!.

Au mtazua propaganda mnafanyiwa figisu na sukuma gang. Badiliko nililoona ni sahivi umeme umekuwa na matatizo zaidi kuliko matengemao.

Na ujumbe uumfikie.
 
Shida ni kwamba kunamatatizo yq msingi yanayotakiwa kuwa fixed bahati mbaya watawala wanaingia na gear ya kumchafua mtu aliyekuwepo..sasa nashangaa kila siku afadhali ya jana.Walitakiwa Tanesco mpya wawatangazie matatizo wanqyokabiliqna nayo wananchi
 
Shida ni kwamba kunamatatizo yq msingi yanayotakiwa kuwa fixed bahati mbaya watawala wanaingia na gear ya kumchafua mtu aliyekuwepo..sasa nashangaa kila siku afadhali ya jana.Walitakiwa Tanesco mpya wawatangazie matatizo wanqyokabiliqna nayo wananchi
Mkuu haya matatizo yamekuja baada ya uongozi mpya kweli!!! Hii mbona inashangaza maana ingekuwa ni uongozi mpya ule wa upya wake walau tungesema kitu lkn mpya kwa kurithi!.. naona Kuna tuvitu tunayumba.
 
Mkuu haya matatizo yamekuja baada ya uongozi mpya kweli!!! Hii mbona inashangaza maana ingekuwa ni uongozi mpya ule wa upya wake walau tungesema kitu lkn mpya kwa kurithi!.. naona Kuna tuvitu tunayumba.
kunaissue ya kurelax kwani serikali imesema haitwaingilia Tanesco sasa ndo hapo..zamani waliogopa kutbuliwa
 
Back
Top Bottom