Umeme waua Muhimbil!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeme waua Muhimbil!!!!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mvaa Tai, Feb 4, 2011.

 1. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #1
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Kuna tetesi kwamba watu watatu wamekufa Muhimbil baada ya umeme kukatika usiku wa leo, walikuwa wanapumulia mashine sasa nauliza hivi mgao wa umeme upo mpaka sehemu tete kama hizi? Jamani hii nchi sasa imefikia mahala pabaya:puke:.
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Feb 4, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  My God! Nadhali utakuwa ni uzem,be wa hali ya juu maana tunaambiwa sehemu nyeti kama hizo hazikatiwi umeme... hata kama umeme ukikatika kwa sababu nyingine yeyote ile, sehemu kama Muhimbili wanatakiwa kuwa na standby generator ambalo halina mushkeli
   
 3. SHUPAZA

  SHUPAZA JF-Expert Member

  #3
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 548
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Dowans
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Dah!! RIP marehemu...
   
 5. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #5
  Feb 4, 2011
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  .....kwani tatizo la umeme hapo muhimbili kuua limeanza leo?Tokea siku nyingi wengi wanakufa hapo ila hawasemi kwamba ni sababu ya umeme.Premature babies wanakufa sana hapo maana hao wanapumulia sana hizi mashine........hospital kubwa kama hiyo kwa nini hakuna standby generator? Hii nchi bana inabore sana.
   
 6. A

  Aine JF-Expert Member

  #6
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Siku yangu leo ni mbaya sana nikifikiria mambo kama haya, yaani watu wanakufa kwa ajili ya Taifa lisilojali uhai wa watu!!!!!!!! eee Mungu tuhurumie
   
 7. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #7
  Feb 4, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Ngoja nilie tuu maana uchungu wa kufiwa nyie acheni :A S 20::A S 20::A S 20::A S 20:
   
 8. BLUE BALAA

  BLUE BALAA JF-Expert Member

  #8
  Feb 4, 2011
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 899
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  unataka kusema hakuna standby generator?
   
 9. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #9
  Feb 4, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,420
  Likes Received: 3,768
  Trophy Points: 280
  Inawezekana lipo .......ila the changeover process between TANESCO power and their GENSET is too long for the mgonjwa kuvumilia
   
 10. Poetik Justice

  Poetik Justice Member

  #10
  Feb 4, 2011
  Joined: Feb 6, 2009
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kama kweli, kwanini hospitali ya Taifa haina standby generator kwneye sehemu sensitive kama hizo??!!!!
   
 11. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #11
  Feb 4, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Kuna uwezekano!! maana inasemekana hata premature babies hufa sana hapo kwasababu kama hizo
   
Loading...