UMEME WAKATIKA UWANJA WA TAIFA!!!Ngeleja jiuzulu

Status
Not open for further replies.
Wadau taifa ni aibu tupu, umeme umekata na mwanga unaotumika ni wa gari la kubebea wagonjwa. Loooh!
Tbc 1 habali michezo wamechakachua mtangazaji alitaka kutangaza akasita akaendelea na habali nyingine aibu aibu aibu dstv ss9 na star tv wameonyesha live tukio dunia imeshuhudia selikali ya ......... Ivokuwa makini kwa kira jambo nani awajibiswe juu ya hilii?
 
Kwa hali hii, maisha bora ya Mdanganyika itabidi yasubiri sana, if hata kwa mambo muhimu ya kitaifa hatuyapi kipaumbele. Just imagine tunafight udhamini wa Supersport katika ligi kuu. Je, kwa mtaji huu tutapata. Anyway big up Taaaaaaneeeeescooooo kwa kutuandikia historia ya kutolewa kombe la EA gizaaani
 
Aibu ni ya taifa zima hususani serikali ambayo ndio inaendesha uwanja mkuu wa taifa na kila mechi wanachukua mapata makubwa lakini wameshindwa kuweka standby generator ambayo ni automatic kwa ajili ya emergency kama hizo. Shame on serikali ya JK huku waziri wa michezo akijaribu kuokoa jahazi kwa kupiga simu mpaka akaishiwa vocha.Watz tuwe tunajifunza kuwa standby wakati wote.
 
Unajuwa hapa tanesco nao lazima alaumiwe kuonesha yaletwe ma kampuni ya umeme mengine tanzania... Na angekuwa raisi uwanjani ndio doh.. Dowans mlipiga kelele weeeeee sasa anayo mmarekani kelele zimeisha hata wapinzani wamekaa kimya ndio tatizo letu sie watanzania.... Ok tunaweza sema hata nje viwanja vinazima ila hii yetu inakuwa aibu sana inaonesha security pia changa ya kabla ya game kutizama usalama.
 
Hivi kuna nchi nyingine ambayo tukio kama hili limewahi kutokea hapa duniani?
 
Hakuna hata maana ya kuwa na uwanja mzuri hivyo kama hauna management inayoweza fanikisha matukio. It is ugly to swallow!
 
Pole sana. Nilifikiri upo Doha, au ndio June July.

Ahsantum . Nimekuja Zanzibar toke ijumaa tano taarih 6 Jly kuhudhuria harusi ya Member mwenzetu humu JF Engineer Hosam M Hafif huko unguja ambapo ilifanyika ijumaa na leo ijumaa pili ndio nimekuja dar kuangalia hii fainali na kesho inshallah nakwenda Mwanza kwa siku mbili na ijumaa tano naondoka kurudi Doha.

hakika mpira ulikuwa mzuri sana ingawa timu zote zilikesha kubutua kubutua lakin ndio hivyo tena mshindi kapatikana japo umeme ulizimwa wakti akimchukua mwali wake.

Ni aibu lakini hongera watani wetu Young.
 
Its a shame!it show how incompetent black people are!!mkurugenzi wa taa nesa awajibishwe!
 
Siku ile nyimbo za taifa ziligoma kuimba ikawa aibu na leo umeme umekata uwanjani na wakaamua kutumia ambulance kumilikia
ili wagawe zawadi ,,,,, kati ya hizo mbili ni ipi aibu kubwa zaidi???????
 
Nyie sindio mlikuwa makelele dowans,dowans hivi dowans vile sasa marekani kaichukuwa sijasikia hata mpinzani kupiga kelele sasa yatazidi zaidi ya haya na angekuwa kiongozi raisi wa waziri mkuu ndio kabisa sasa hivi wanaweza kusema fyuuuuuuuu ilikuwa nusu niende sema wangesema sie yanga tehteh . Hili tatizo hata nje viwanja vinazima ila sie letu limezidi usalama wa wananchi ni sifuri je watu wakichomana visu je game ya upinzani kama hiyo? Mikabo ujambawazi lazima tuwe tunachunguzak itu kwak ufikiria sio kufikiria kipato cha taifa mtaingiza pesa ngapi za kugawana?.
 
Si ajabu Tanesco wakasema ni tatizo la transforma katika kujitetea....ila kwa nn uwanja na wao wasiwe na standby generator?...sbb hata kama si mgao chochote kinaweza tokea kwa mfano nyumba iliyo kwenye line moja na uwanja ikiwa inaungua Tanesco watalazimika tu kukata umeme ili fire ifanye kazi hilo halitajali hata kama uwanjani kuna nini na nani yupo....hili wamiliki wa uwanja litawafundisha
 
Wewe chizi nini angalia chanzo nini na siyo kukimbilia generator,,,wakati umeme uliokuwa unawaka
ni wa TANESCO,, acha upuuzi wakati ukweli unajulikana...

Hapana mkuu....Viwanja vya wenzetu huwa vinakuwa na standby generators ambazo huwaka mara umeme unapokatika.....
ikata matangazo
TFF,CECAFA na uongozi wa uwanja walipaswa kuweka tahadhari ya umeme kabla ya mchezo badala ya kutegemea zaidi umeme wa TANESCO.....

Ni aibu kusikia kwamba generator za uwanjani hazikuwa na mafuta......Hii ni aibu.....Thank God Super Sport walikata matangazo mara baada ya mpira kiusha na kuanza kuonesha Ligi kuu ya Kenya...
 
WanaJf wenzangu ni wazi kwamba kilichotokea leo uwanja wa taifa ni aibu kubwa na fedheha kwa nchi yetu!! Kitendo cha Tanesco kukata umeme kwenye tukio kubwa kama la leo tena linaloshuhudiwa na ulimwengu mzima kupitia DSTV tena fainali ya kombe la kagame inadhihirisha wazi kua Tanesco wamedhamiria kuiabisha serikali na viongozi wetu na katika tukio la leo nazidi kuwapa hongera ksbb wao wanaonekana kuishinda serikali!!! sasa tuone hatua zitachukuliwaje na nani atawajibishwaa hapa!?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom