UMEME WAKATIKA UWANJA WA TAIFA!!!Ngeleja jiuzulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UMEME WAKATIKA UWANJA WA TAIFA!!!Ngeleja jiuzulu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Remote, Jul 10, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Remote

  Remote JF-Expert Member

  #1
  Jul 10, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 14,875
  Likes Received: 1,562
  Trophy Points: 280
  Umeme umekatka uwanja wa taifa, kombe bado halitatolewa
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Jul 10, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  Wana Jf sijawahi sikia umeme kukatika uwanja wa mpira usiku!!JEE hakuna generator standby?mamilions ya pesa wanapata kila siku wanapeleka wapi?hiii ni aibu kwa CCM na serikali yake!!!Aibu kubwa sana!!!!Waafrika tunatia aibu isyoeelezeka.Au mpaka wachina watuletee umeme?
   
 3. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #3
  Jul 10, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  aibu sana kwa watanzania na africa kwa ujumla
   
 4. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #4
  Jul 10, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  na hakuna atakayejiuzulu
   
 5. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #5
  Jul 10, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  Wadau taifa ni aibu tupu, umeme umekata na mwanga unaotumika ni wa gari la kubebea wagonjwa. Loooh!
   
 6. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #6
  Jul 10, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Sio kusikia ndio umeona sasa........mwenyeeeewe,rais kasema msimlaum ngeleja wewe unasema ajiuzuru??????nani atamwajibsha??????
   
 7. Loyal_Merchant

  Loyal_Merchant JF-Expert Member

  #7
  Jul 10, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 589
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Katika kinachoshindwa tafsiriwa katika uwanja wa taifa giza limetanda na kufanya iwe ki2ko cha mwaka.
   
 8. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #8
  Jul 10, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hadi tumbo limeniuma.
   
 9. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #9
  Jul 10, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nimesikitika sana. Mpaka ss9 wamekata matangazo
   
 10. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #10
  Jul 10, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  ajiuzulu? sio kwa tz
   
 11. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #11
  Jul 10, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,785
  Likes Received: 2,395
  Trophy Points: 280
  Jee ni nani atakayejiuzulu?
   
 12. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #12
  Jul 10, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  Hahahahaha! Aibu ya mwaka, mataifa yote leo wanashuhudia tz, looh!
   
 13. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #13
  Jul 10, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Nchi hii bila kupigana hatutapata akili
   
 14. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #14
  Jul 10, 2011
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 16,244
  Likes Received: 3,793
  Trophy Points: 280
  Jamani inamaana kumbe mpka u/taifa umeme nako umekatika? Mi nilidhani huku kwetu uswazi wamekata dk hii tu!
   
 15. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #15
  Jul 10, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  Mod unganisheni thread hii na nyingine, naona zimeanza nyingi. Naomba muitoe hii.
   
 16. F2S

  F2S JF-Expert Member

  #16
  Jul 10, 2011
  Joined: Feb 16, 2008
  Messages: 216
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Halafu hakuna atakaewajibishwa ktk hili. Wanatumia taa za gari hii kali ni hatari kwa usalama pia
   
 17. D

  Dwork1 Member

  #17
  Jul 10, 2011
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 33
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Kazi kwa ngeleja aibu yako hii na ndugu yako Janualy makamba
   
 18. M

  Mwera JF-Expert Member

  #18
  Jul 10, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 968
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni kashfa ya kitaifa na fedheha kubwasana,haijawahi kutokea ktk nchi yoyote duniani isipokua tanzania
   
 19. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #19
  Jul 10, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Natamani J.k angekuwepo humu maana ni mshikemshike tupu.
   
 20. fikirini

  fikirini Senior Member

  #20
  Jul 10, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 114
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Inasikitisha , inatia kichefuchefu, siku kuu ya fainali ya kagame leo uwanja wa taifa umeme unakatika! africa na ulimwengu ukishuhudia matangazo ya supersport. na bado sera ya ccm ni kuendeleza michezo, kweli ccm ipo makini?na wewe waziri ngeleja ulishindwa hata kufunika aibu ya mwenzako waziri wa michezo bwana nchimbi akiwa kama mgeni rasmi hata kombe alikuwa hajakabidhi alafu umeme unakatika , hee! ungefanya kama mnavyolindana huko bungeni kuua hoja za wapinzani!!!
  Jamani, kweli nyinyi ni wezi!!! wana JF mimi imeniuma
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...