Umeme wakatika tena | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeme wakatika tena

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Rweye, Jul 17, 2011.

 1. R

  Rweye JF-Expert Member

  #1
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 14,003
  Likes Received: 2,268
  Trophy Points: 280
  Kuacha ile ya saa7 mchana na kurudi saa12 jioni hii mda huu tena umekatwa na haijulikani mpaka mda gani tena,huu umeme ni kama mgonjwa wa kifafa....saa1 mzima,nusu saa kazimia
   
 2. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,635
  Likes Received: 205
  Trophy Points: 160
  samahani mkuu unaishi maeneo ya komakoma nini..
   
 3. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #3
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 29,284
  Likes Received: 4,258
  Trophy Points: 280
  haa!mi nshasahau habari za umeme wanakata asbh na kurudisha saa saba au tisa ucku!
   
Loading...