Umeme wakatika sehemu kubwa iliyo kwenye Gridi ya Taifa - Juni 06, 2019

now umeme usharudi
Tulikuwa kwenye project fulani hv, sasa mim eneo langu lilikuwa namanyele na kirando, sasa iliandikwa namanyele/kirando. Nilijua ni sehemu moja, sasa utata unakuja zimebaki siku mbili, nauliza wenyeji wananambia kirando ni mwendo kama wa masaa mawili hadi matatu, na ni mji mkubwa. Aisee acha tu ila nilifika na nikafanikisha
 
Back
Top Bottom