Kama unauona kwanini mpk uambiwe?Waseme tu mgao umeanza..
Kama unauona kwanini mpk uambiwe?Waseme tu mgao umeanza..
Na hivi kila kitu kinachobamba kinawahusu wao. Ngoja nitaje machache tu.Serikali ya awamu hii imejaa uongo, unafki, uzandiki, na kiki.
Kwa nini Rais asijue?Hatupendi ukweli hivyo changamoto kama hizi ni za kawaida
Kwani hii ilikuwa nchi mzima kama ilivyo sasa?kuna wana wanasema kipindi chake umeme ulikua haukatiki