optimist
JF-Expert Member
- Sep 13, 2009
- 281
- 98
Jamani wana JF,
Nimestushwa na habari za kupandishwa kwa gharama mwakani, nikajiuliza sasa mimi nifanyeje kutokana na gharama kuja kunishinda hivyo nikafikiria kuwa nitaweka umeme wa jua yaani solar kwenye mabanda (nyumba) yangu yote ya mjini, ila kuna mtu kanidokeza kuwa kwenye miji na majiji TANESCO hawakubali wewe ujenge nyumba yako katika majiji na miji ukaweka UMEME WA SOLAR, je hii ni kweli?