Michosho
JF-Expert Member
- Mar 17, 2012
- 662
- 649
Nakumbuka mwishoni mwa mwaka(2015) jana ..nilisikia prof. akisema Tanzania inataka kununua umeme wa bei nafuu toka Ethiopia, na mchakato ulishaa anza..Je Mradi huo umefikia wapi?? na Mwisho wa Mradi huo kukamilika ni lini??
Pia wadau mwenye fununu na Maendeleo ya mradi wa Gesi atupe taalifa ..Watanzania tuna kiu ya kujua/kuona manufaa ya gesi yetu kwa Wananchi
Pia wadau mwenye fununu na Maendeleo ya mradi wa Gesi atupe taalifa ..Watanzania tuna kiu ya kujua/kuona manufaa ya gesi yetu kwa Wananchi