Umeme wa maji bado unanafasi kubwa kwetu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Umeme wa maji bado unanafasi kubwa kwetu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mfinyanzi, Jul 17, 2011.

 1. M

  Mfinyanzi Member

  #1
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba nianze kwa kutaja Mito Mikubwa 3 tu.Kagera,Malagalasi na Rufiji.Tusitafute Mapolomoko ya Maji bali tujenge Mapolomoko.Mfn;Tusijenge Rusumo tusogee chini zaidi Pale tunapoanza kuupata Mto Kagera ndio pajengwe Mapolomoko.Tuache porojo Malagalasi Tanesco wamesha pata sehemu nyingine ambayo haina vyura wa konokono wakajenge.Hiyo Rufiji sina budi kunyamaza Wote mnafahamu kilichopo na kinachoendelea.SELIKALI IAMUE KUWEKEZA KWAAJILI YA WANANCHI NA SIO KUWEKEZA KWAFAIDA YAO(KIBIASHARA).
   
 2. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #2
  Jul 17, 2011
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Yeah, ushatoka kwenye per diem za kutazama mto (refer michuzi blogspot) sasa umekuja kufinyanga vyungu hapa

  Tufukuze kwanza akina ngeleja ndio tuongee lugha yako, tuliambiwa gesi ina nafasi nzuri, tukaambiwa maji, tumeambiwa nuclear

  My foot, nataka umeme sitaki nafasi ya mito maziwa na mtindi!!!
   
 3. M

  Mfinyanzi Member

  #3
  Jul 17, 2011
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu tatizo ni Umeme kweli Lakini huu wa Mafuta wanaoupa kipaumbele hautufa na hakuna atakae weza kuununua kwa bei ya Soko.Tanesco inaomba 16 billion kwa kununua mafuta yakuendesha Generator kwa 1 month,Je hilo linaingia akilini?Generator ndogo kama zile za Kigoma 1 inakunywa 200lts per hr ikiwa fullload nainatoa 1megawatts.Tanesco inatumia zaidi ya Tsh 800 million kwa Mafuta tu kwa Mwezi achilia mbali Ghalama Zingine na MAKUSANYO BAADA YA KUUZA UMEME HAYAZIDI 300 MILLION,KWA HESABU HIZI ZINAITAJI DEGREE? NASEMA BADO TUNAHITAJI UMEME WA MAJI TU HATAKAMA UNAGHARAMA KUBWA.
   
 4. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2011
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,155
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Tatizo la umeme si la chanzo cha maji, gesi wala kitu chochote zaidi ya hao mnaowaita viongozi wenu ambao wanajifanya wahandisi, huku wasimamizi, mara kule watoa tenda, mara wagavi yaani kila kitu ni wa wao na ndio maana dawa ya umeme haipatikani
  But anyway tuendelee na hoja zetu hizi ambazo nina imani hazitasaidia kitu zaidi ya kujifariji tu
   
 5. M

  Mfinyanzi Member

  #5
  Jul 18, 2011
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuombe wa Bunge Wote wakatae kupitisha Budget ya Ngelejaee ili wa kubali kuwekeza ktk Umeme wa MAJI.
   
Loading...