Umeme wa luku hamna vituoni

kdany

Senior Member
Jul 20, 2012
149
25
wakuu tangu juzi maeneo ya knondon wauzaji wa luku wanalalamika kuwa network hamna,na tumeendelea kukaa giza na joto la mji huu mpaka leo,asubuh nmeenda tena namanga bado wanadai tatizo n lilelile.tena c 2naotumia umeme wa kadi ndo balaa.kama kuna sehemu unapatkana 2julshane wakuu.
 
Kwa hapa Dar ,network ya TANESCO ya LUKU imekuwa haifanyi kazi tangia juzi. Je kuna mtu yeyote mwenye taarifa ya tatizo hili na lini litarekebishwa.
 
Hao wamekwama na kutangaza mgao hawawezi njia iliobaki ni kupunguza watumiaji kwa kuzima network si unajua tena hao ndio wazee wa fitna leo miundombinu, keho songas wanasafisha vimu, keshokutwa njia mpya, sasa stori zote hizi zikishindwa kufua dafu ndio inakuja kuzina net
 
Hao wamekwama na kutangaza mgao hawawezi njia iliobaki ni kupunguza watumiaji kwa kuzima network si unajua tena hao ndio wazee wa fitna leo miundombinu, kesho songas wanasafisha vimu, keshokutwa njia mpya, sasa stori zote hizi zikishindwa kufua dafu ndio inakuja kuzina net
 
Ngoja niende kukata gogo nikimaliza nirudi nikuelekeze sehemu ya kwenda.
 
Hao wamekwama na kutangaza mgao hawawezi njia iliobaki ni kupunguza watumiaji kwa kuzima network si unajua tena hao ndio wazee wa fitna leo miundombinu, kesho songas wanasafisha vimu, keshokutwa njia mpya, sasa stori zote hizi zikishindwa kufua dafu ndio inakuja kuzina net

Eee bana duh ! Kama kuna ukweli fulani vile !
 
Back
Top Bottom